Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
kwa toyota huwa inafanyiwa update kwa kutumia toyota gps navigation map SD card pale toyota tanzania na CMCNamiliki Nissan Dualis, changamoto niliyopata na baadhi ya wamiliki ni Navigation System (Nissan Carwings) kuwa kwa Kijapan. Mpaka sasa hatujapata mtu ambaye anaweza kubadilisha language from Japenese to English. Otherwise gari iko vizuri sana
okkwa toyota huwa inafanyiwa update kwa kutumia toyota gps navigation map SD card pale toyota tanzania na CMC
hata nissan jaribu pale CMC
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nadhani ukigoogle unaweza kupata hatua za kubadilisha lugha kwenye hiyo navigation system.Namiliki Nissan Dualis, changamoto niliyopata na baadhi ya wamiliki ni Navigation System (Nissan Carwings) kuwa kwa Kijapan. Mpaka sasa hatujapata mtu ambaye anaweza kubadilisha language from Japenese to English. Otherwise gari iko vizuri sana
Nina swali kuhusiana na hii gari.
Kwa nini sokoni, kwa iliyotumika hapa nchini, Bei yake huwa chini sana??
Je huwa zinatatizo gani common hizi gari??
Kiujumla, kwenye manunuzi Nissan ni cheap sana kuliko toyota yenye sifa zinazofanana. Uzuri wa Nissan hawana spea counterfeit sokoni, ndio sababu apea zake ni ghali. Ila kwa anaependa vya kudumu, Nissan is the way to go.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kwenu.
Binafsi ningependa kwa wale wote ambao wamewahi kumiliki au wanamiliki na wale wenye ndoto za kumiliki magari ya kampuni ya NISSAN tukutane hapa tubadilishane uzoefu kulingana na aina ya NISSAN unayomiliki au uliyowahi kumiliki.
Ingependeza utueleze gari hilo la nissan umelimiliki kwa muda gani na ni changamoto zipi za kiufundi umekutana nazo na ulizitatua namna gani.
Hii inaweza kutusaidia kuondokana na dhana kwamba magari ya TOYOTA ndiyo yanayofaa kwa Tanzania na si vinginevyo.
Tukubali kwamba kuna kampuni nyingi za magari tofauti na TOYOTA za Japan na nje ya Japan ambazo zinatengeneza magari mazuri sana kuliko hata yale ya Toyota ila shida inakuja kwa mafundi wetu wanatukaririsha kuwa toyota ndiyo gari bora.
Kwa kuanzia labda niorodheshe baadhi ya models za NISSAN ambazo zimekuwa common hapa Tanzania.
1. Nissan Patrol
2. Nissan Safari
3. Nissan Murano
4. Nissan Elgrand
5. Nissan Serena.
6. Nissan Fuga
7. Nissan Dualis
8. Nissan X-Trail
9. Nissan Skyline
10.Nissan March
11.Nissan Tiida
12. Nissan Note
13. Nissan Blue bird
14. Nissan Sunny
15. Nissan Caravan
16.Nissan Juke
17.Nissan Terano
18. Nissan Wingroad
Unaweza kuongezea Nissan nyingine ambayo sijaitaja hapo.
Karibu tubadilishane uzoefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidieni ninataka kununua Nissan Serena mwenye uzoefu nayo aniambie uzuri wake na changamoto zake pia ulaji wa mafuta ukoje.Natamani ukweli huu watanzania wote wapenda magari waujue...
Good experience....anayelenga kununua March ameshapata ABCsWAKUU,
I AM REFFERRING TO NISSAN MARCH.
(1) Nissan March ya 2003: inasevu mafuta ila Ilinisumbua sana, ilikuwa inazimika mara kwa mara kwa tatizo la silencer, nakumbuka last time ilizima nikiwa maeneo ya kariakoo na mvua ikawa inanyesha niliteseka sana na mafundi nilowapigia ndo wakaja ikabidi tulisukume mpaka gereji yaani ile siku angetokea mtu akanipa laki tano ningempa hilo gari kabisaaaaaa. Fundi akanishauri bora niiuze maana tatizo lake kubwa ni hilo. Finally alijitokeza jamaa wa mikoani hela zinamwasha nikamshikisha.
(2) Nissan March K11: Pia inasevu mafuta ila tatizo lake belt zake haziko adjustable, na mara nyingi zinapiga kelele ukichuna breki au akiiwasha.
Kama unataka nissan March bora ununue hiyo K11.
SAMAHANI KAMA KUNA NILOMKWAZA, ILA NDO UKWELI WANGU THROUGH EXPERIENCE.
Ninayo tangu mwaka 2015, ni nzuri sana kwa safari ndefu hasa ukiwa na familia kubwa.Nisaidieni ninataka kununua Nissan Serena mwenye uzoefu nayo aniambie uzuri wake na changamoto zake pia ulaji wa mafuta ukoje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakaribishwa sanaMimi ni mwanafamilia mtarajiwa wa Nisan tena FUGA
Kiujumla, kwenye manunuzi Nissan ni cheap sana kuliko toyota yenye sifa zinazofanana. Uzuri wa Nissan hawana spea counterfeit sokoni, ndio sababu apea zake ni ghali. Ila kwa anaependa vya kudumu, Nissan is the way to go.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiujumla, kwenye manunuzi Nissan ni cheap sana kuliko toyota yenye sifa zinazofanana. Uzuri wa Nissan hawana spea counterfeit sokoni, ndio sababu apea zake ni ghali. Ila kwa anaependa vya kudumu, Nissan is the way to go.
Sent using Jamii Forums mobile app
Check engine kwa nissan mara nyingi ni Oxygen seonsor chafu au imekufa...pia AirMAF sensor ikichafuka....
Nissan hazitaki bugudha Air filter yenyewe ikiwa cloges usishange kuona check engineNinayo tangu mwaka 2015, ni nzuri sana kwa safari ndefu hasa ukiwa na familia kubwa.
Changamoto ninayoipata ni gharama za hydrolic fluid, bei yake inafika 180,000 kwa lita nne japo ukibadilisha inakaa muda mrefu sana. Pia check engine inawaka mara kwa mara, mafundi nao ndio hivyo tena kwenye kutoa errors.
Kama unapenda kukimbiza gari, karibu kwenye Serena
Hapana mkuu, ila mimi nilim quote yeye.
Daah pole sana..Kuna Nissan Patrol moja Old Model nilipata kwa mzungu mmoja aliyekuwa anafanya research ya wanyama pori ..Yeye alilinunua DT Dobbie
Basi ikafika wakati anaondoka akaliuza kwa bei ya kishkaji sana ...sijawahi badilisha hata bolt zaidi ya kufanya service ya kawaida na kubadilisha Timing Belt
Juzi nasafiri nikamuachia jamaa yangu mmoja sasa sijui alipasulia wapi rejeta bila kujua akaendesha hivyo kilichotokea gari ilizima yenyewe kuja kufungua Bonnet ya gari engine imeoza yote kilicho baki salama ni cylinder head na block ..80% ya engine imekufa ..kuulizia sasa spare na kuifanyia overhaul niliishia kushika kichwa ,nilichofanya ni kutoa matairi nikalifunika mpaka majaliwa tena
Jamaa yangu mwenyewe maisha ya kuunga unga kama yangu ,mke wake mwenyewe sio mzuri maana ningemmegea kupunguza hasira basi ndio hivyo tena
Nissan ni gari nzuri sana ila isije ikaua kitu kikubwa lazima ulie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kunambia kuwa bega moja likiteguka basi na la pili hivohivo or?Gari linaundwa kwa mifumo inayotegemeana kama binadamu.
Kifaa fulani cha gari kikiharibika usipokibadilisha kwa wati, lazima kifaa kingine ambacho kipo kwenye mfumo huo kiharibike..
Ndiyo maana inashauriwa ukihisi sehemu fulani inagonga wahi kutatua kabla haijaambukiza sehemu nyingine..
Hii ipo kwa magari yote
Sent using Jamii Forums mobile app
We utakuwa unamiliki kluger[emoji1787][emoji1787]...sizipendi hizo gari aki!Kuna uzi mmoja ulisema ukimuona mwanaume anaendesha kluger unapata kihoro yani unaloa chapachapa..hiv ni kluger au gari gani sikumbuki vizuri ebu nikumbushe mama
We're sailing the same boat ...ukimpata mtaalam wa Navigation system unishtue mkuu...inanipa shida sana hii!Namiliki Nissan Dualis, changamoto niliyopata na baadhi ya wamiliki ni Navigation System (Nissan Carwings) kuwa kwa Kijapan. Mpaka sasa hatujapata mtu ambaye anaweza kubadilisha language from Japenese to English. Otherwise gari iko vizuri sana