Kwa Wana JF wote; Nimewaza tu.



lazima penye wengi magenius kama nyie muwepo ! atleast umenitaja kwenye moja ya magroup hapo juu !
ngoja niendelee na miye kunyonya wine hapa
 
lazima penye wengi magenius kama nyie muwepo ! atleast umenitaja kwenye moja ya magroup hapo juu !
ngoja niendelee na miye kunyonya wine hapa
Unajua mkuu, ukweli utabaki kuwa ukweli, halafu maisha ni utaratibu ambao hautabiriki Kwa kuwa standard measures za kutafsiri, katika mahusiano kuna watu waliamini wakioa kijijini watakuwa wameoa mwanamke sahihi, lakini tafiti zimeonyesha kwa asilimia kubwa wengi walifeli, pia kuna watu waliamini kuoa mwanamke anayefanya kazi baa ni kutafuta shida, na tafiti zimeonyesha asilimia 80 ya wanawake walioolewa waliokuwa wanafanya kazi baa ni wake bora sana. Hiyo kitu inategemea factors nyingi sana za kuzingatia, ndio maana nimesema hakuna direct criteria katika hili.
 
Aisee so wanaume wa hum ndo wenye HIV ambao watawaambukiza wanawake?? Je huyo mwanamke akitembea na mwingine asona HIV iitakuwaje??alokwambia mwanamke msomi anatoa mimba kishamba hivyo kiasi cha kuoza kizaz n nani?? Mkuu kama umeoa nina hakika mkeo keshatoa mimba 1. Kabla ya kumuoa 2. Baada ya kumuoa (mimba nying sana wamama hubeba kipind cha uzaz wa kunyonyesha so huzitoa kuliko unavyodhan ww) pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…