MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Umenena vyema, Ila ni lazima tufahamu kuwa maisha no yale yale whether ni jf life au street life, tofauti zotakuwepo ila ni ndogo ndogo sana Kwa sababu zifiatazo;
1.Kuna watu wamo jf just for funny
2. Kuna watu wamo jf for learning
3. Kuna watu wamo jf ili waonekane kuwa wamo ktk jamii
4. Kuna watu wamo jf for both, funny and learning.
Hizo ni baadhi ya sababu zinazowafanya watu wawemo humu, ni kweli kila mmoja anaishi katika mazingira yake, kuna wengine hawana mahali per Ku interact na watu kulingana na lifestyle yake au majukumu yake nk.
Kwa hiyo akiingia jf ndio anaondoa stress zake zote na kuwa mpya.
Ntaendelea baadae kidogo, ngoja niitendee haki hii glasi hapa pembeni
lazima penye wengi magenius kama nyie muwepo ! atleast umenitaja kwenye moja ya magroup hapo juu !
ngoja niendelee na miye kunyonya wine hapa