Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Fidel Castro"history will absolve me""Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?"
"Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?"
"Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?"
CCM tujitafakri sana kwayo hiyo imani wanayopeana raia hawa wakawaida ni sumu kali mno kwa chaguzi zijazo.
Mfano hili la umeme na maji ndilo hasa linaendelea kuwa sumu kali huku mtaani.
Tugutuke,2025 si mbali.
Sgang wanataka Ku justify ukanjanja wao"Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?"
"Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?"
"Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?"
CCM tujitafakri sana kwayo hiyo imani wanayopeana raia hawa wakawaida ni sumu kali mno kwa chaguzi zijazo.
Mfano hili la umeme na maji ndilo hasa linaendelea kuwa sumu kali huku mtaani.
Tugutuke,2025 si mbali.
TrueSgang wanataka Ku justify ukanjanja wao
Kwani Magufuli aliwahi kutegemea chaguzi kuwepo kwenye madaraka; au pengine ni njia yako ya kuwakumbusha hao 'wazururaji' wasisahau kusgughulikia njia hiyo ili na wao waendelee kuwepo kwenye madaraka!"Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?"