Kwa Wananchi walio serious hili suala la umeme Tanzania lingetosha kuitoa CCM madarakani

Naunga mkono hoja

Tujikumbushe kidogo hapa 👇
 
BREAKING NEWS: Serikali ya Tanzania iko kwenye mazungumzo ya mwisho na shirika la umeme la Msumbumbiji EDM kununua umeme wa dharura wa 150MW. Umeme huo utasaidia kupunguza kadhia ya sasa ya mgao mkali wa umeme. #TanzaniaLeaks

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nchi ambayo inasumbuliwa na ugaidi ndo tunaenda kununua umeme Tanzania yenye Kila kitu na miaka 60+ ya uhuru? viongozi wameona Bora wananue? tu sisi tunaweza kukopa kama nchi, lakini fanyeni hivo Ili sisi tupate umeme
 
Hiyo comment yake imenifanya niamini Hana akili
Wewe mtu kutwa yupo JF utafikiri retured kama mimi, unaikiri anakilalamikia nini zaidi ya kukosa charge ya simu tu.

Huyo hana hata blender ya kufanyia juisi nyumbani. Au na wewe ni halikadhalika?
 
Umewahi Mwona kaja kwako kukulilia njaa? Umeme ukiwa haupo watu watukuwa mitandaoni kwa sababu kazi zao zimetatizika kwa kukosekana umeme
 
Watanzania sio watu wakutetewa muda wote story zao ni simba na yanga hiyo akili ya kuitoa ccm wataanzia wap
Kwani hao wanaojadili siasa muda wote wao wamefanya nini au ndio wanakwamishwa na wanaojadili simba na yanga?
 
Huu umeme umekuwa kero sana shughuli za watu zimesimama viwanda vinashindwa kufanya kazi ndo mtegemee maendeleo?

Wananchi tungekuwa serious CCM 2025 ingebidi waachie serikali kivyovyote vile hata wangeiba kura naamin nguvu ya wananchi ingeitoa.

Hata nyie chawa wa serikali mnaoipamba serikali ya mama anaupiga mwingi mnaishi ikulu au kwenye jamii yetu inatatizika na umeme, mwambieni awekee nguvu kwenye umeme sio uteuzi na utenguzi tu wakati wananchi tunashindwa kufanya shughuli. The Boss, FaizaFoxy THE BIG SHOW ,
Naunga mkono hoja 👍👏👏
 
Kama nchi tupo pabaya sana
Tupo pabya nini wew? Wewe umeme wa nini? Tena tukirudishwa enzi za nyerere za vibatari ndiyo kila mtu atajuwa kujitegemea umeme kwa kununuwa solar system ya nyumbani kwake.

Mama Samia umeme wote peleka viwandani, huku majumbani kata kabisa tunazo solar.
 
Mpumbavu wewe!! Sasa na huko viwandani haupo, na ulivo mjinga serikali yako ya CCM ilishindwa kuweka mipango miji kuwa hili eneo ni la viwanda, misikiti,biashara wao popote kiwanda popote msikiti na wote wanatumia laini Moja ya umeme watakataje Sasa umeme? Kishoia wewe
 
Tupo pabya nini wew? Wewe umeme wa nini? Tena tukirudishwa enzi za nyerere za vibatari ndiyo kila mtu atajuwa kujitegemea umeme kwa kununuwa solar system ya nyumbani kwake.

Mama Samia umeme wote peleka viwandani, huku majumbani kata kabisa tunazo solar.
Mnazo solar wewe na nani?
 
Tatizo la Tz manyumbu ni mengo mno na ndio maana hatuutoki hapa!
Ila kuiunga ccm mkono lazima uwe huna akili sawaswa au akili ziwe zinakukuruka mara kwa mara.
 
Tupo pabya nini wew? Wewe umeme wa nini? Tena tukirudishwa enzi za nyerere za vibatari ndiyo kila mtu atajuwa kujitegemea umeme kwa kununuwa solar system ya nyumbani kwake.

Mama Samia umeme wote peleka viwandani, huku majumbani kata kabisa tunazo solar.
Na misikitini Samia kapeleka Solar?
 
Tupo pabya nini wew? Wewe umeme wa nini? Tena tukirudishwa enzi za nyerere za vibatari ndiyo kila mtu atajuwa kujitegemea umeme kwa kununuwa solar system ya nyumbani kwake.

Mama Samia umeme wote peleka viwandani, huku majumbani kata kabisa tunazo solar.
Umesahau ungemwambie apeleke Dubai kwa wajomba! wao wanahitaji kuliko watanzania!
 
Huu umeme umekuwa kero sana shughuli za watu zimesimama viwanda vinashindwa kufanya kazi ndo mtegemee maendeleo?

Wananchi tungekuwa serious CCM 2025 ingebidi waachie serikali kivyovyote vile hata wangeiba kura naamin nguvu ya wananchi ingeitoa.

Hata nyie chawa wa serikali mnaoipamba serikali ya mama anaupiga mwingi mnaishi ikulu au kwenye jamii yetu inatatizika na umeme, mwambieni awekee nguvu kwenye umeme sio uteuzi na utenguzi tu wakati wananchi tunashindwa kufanya shughuli. The Boss, FaizaFoxy THE BIG SHOW ,
Matokeo ya kumchekea February Marope kule bungeni. Mliupuuzia mradi wa JNHPP mkaleta kila aina ya sarakasi ili ukwame, mkasogeza mbele tarehe ya kumaliza, ndo mufute ya magufuli? Sijui crane za tani 49, sijui winch zimeagizwa, mpaka leo hazijafika? Tungekuwa serious na ule mradi tusingepiga kelele za umeme sasa hivi. Wewe hushangai mpaka Lissu ameamua kumkubali mpaka kuzuru kaburi? Biashara ndogondogo za welding, seremala, salon, zinakwama kisa umeme. JPM anaendelea kuishi mioyoni.
 
Wewe utakuta unalalamika kwa kuwa umeshindwa kununuwa hata solar ya kukuchajia simu yako tu.
Wewe hujielewi wala huoni uhalisia wa mambo. Ndo hicho wanachotaka labda, tununue solar chargers zao? Tungekuwa tumeweka juhudi kwenye JNHPP sasa hivi tusingekuwa tunalia umeme.
Watu mlibeza sana huu mradi, bungeni, mitandaoni, kwa sababu tu mlimchukia JPM? Mkachelewesha hatua za ujenzi, mara crane, mara winch. ilikuwa mwezi wa juni uishe, tukaja kuambiwa sasa ni 2024!!!!
Magu aliona mbali. "Wazuri hawafi" Ubaya wake ni kukata mizizi ya ulaji na ufisadi shirika la umeme?
Magu hakuja na mvua lkn umeme ulikuwa haukatiki ovyo wala hakukuwa na mgao! Hamjawahi kujibu hili swali
 
Back
Top Bottom