Kwa wanaoamini uumbaji wa Eden, wanyama wala nyama waliumbwa wakiwa wanakula nyama?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Simba, Chui, Fisi na wanyama wengine wala nyama walikuwa wanakula nini katika bustani ya Eden?

Chatu alikuwa anameza kitoweo chake katika bustani ya Eden?

Mamba alikuwa anakula nini??

Ndege wala nyama na samaki walikuwa wanakula nini?
 
Ndani ya bustani ya eden hakukuwa na kifo.Kulikuwa na maisha ya milele.Zaidi hapakuwa na ugonjwa wowote dhiki au kupata Kwa kuhangaika,,pale MUNGU alikuwa Pamoja na wanadamu na viumbe.Vyakula vilikuwa matunda na mimea..Kifo Kwa binadamu na wanyama,,njaa,,magonjwa,,umaskini na matatuzo yote ya binadamu yameanzia nje ya bustani baada ya Adam na mkewe kufukuzwa watoke ndani ya bustani na malaika akawekwa alinde njia ya kurudia bustani na kwenda Kula matunda ya mti WA uzima.
 
mbona kama haujajibu hoja, au ndo umejibu kiroho zaidi!?😀
 
Ndani ya bustani ya eden hakukuwa na kifo.Kulikuwa na maisha ya milele.Zaidi hapakuwa na ugonjwa wowote dhiki au kupata Kwa kuhangaika,,pale MUNGU alikuwa Pamoja na wanadamu na viumbe.Vyakula vilikuwa matunda na mimea..Kifo Kwa binadamu na wanyama,,njaa,,magonjwa,,umaskini na matatuzo yote ya binadamu yameanzia nje ya bustani baada ya Adam na mkewe kufukuzwa watoke ndani ya bustani na malaika akawekwa alinde njia ya kurudia bustani na kwenda Kula matunda ya mti WA uzima.
Adamu aliwaponza akina simba namamba?
 
Na hao wanyama walikosa nini?
 
Nisome vizuri utaelewa kwamba wanyama wanaokula nyama kwenye bustani ya eden walikula nini?? Soma uelewa usisome kukimbilia kujibu.
labda kuna kitu unacho, ila kinakushinda kuandika. kama wote walikuwa wanakula matunda ikawaje wengine wakawa Predators na wengine wakawa Preys
 
Simba, Chui, Fisi na wanyama wengine wala nyama walikuwa wanakula nini katika bustani ya Eden?

Chatu alikuwa anameza kitoweo chake katika bustani ya Eden?

Mamba alikuwa anakula nini??

Ndege wala nyama na samaki walikuwa wanakula nini?
Katika bustani ya Eden, wanyama wote walikuwa wanakula chakula kingine kisichohusisha nyama. Hapa kuna maelezo ya kinagaubaga kuhusu chakula walichokuwa wanatumia:

Wanyama Waliokuwa Bustani ya Eden:
  • Simba, Chui, na Fisi: Walikuwa wanakula mimea, matunda, na majani.
  • Chatu: Alikuwa anameza matunda na mimea kama kitoweo chake.
  • Mamba: Alikuwa anakula samaki na mimea ya majini.
  • Ndege: Walikuwa wanakula mbegu,matunda, na miche ya mimea.
  • Samaki: Samaki walikuwa wakila mimea ya majini na samaki wadogo.
Katika Bustani ya Eden, hakuna wanyama waliokuwa wanakula nyama kwani mazingira yalikuwa ya amani na ushirikiano.
 
Kumbe samaki walianza kuliwa kitambo!
 
Kwahiyo kifo cha samaki kilikuwepo kabla ya Adam na Hawa kula tunda?

Hao samaki nao si walikuwa viumbe vinavyotambua, kwahiyo wale wadogo walikuwa wanajua wataliwa wafe. Waliumbwa kwa ajili ya chakula cha viumbe wengine special ambao inabidi wasife na ili wasife njaa inabidi wale hawa viumbe wasindikizaji wasio na maana kwenye maisha?

Kama hapo mwanzo hakukuwa na kifo, nini hiki cha samaki wadogo.
 
Kwanini? Kwamba Sayansi inapinga uumbaji wa Mungu au imeishia pale uumbaji unapoanzia?
Sasa mkuu ukileta sayansi hapa eti mnyama kama simba hapo bustanini alikua anakula maboga? Na chatu je alikua anameza matikiti?
Pengine labda malaika walikua wanawashushia wanakondoo kutoka mbinguni
 
Mbona inaeleweka.

Hapo mwanzo vyote vilikuwa vinakula miche ya kondeni yote yenye tunda na Mbegu kama chakula chao. Mwanzo 1:29-30.

Maisha ya Eden yalikuwaje?
Isaya 11:6-9 inaeleza ilivyokuwa na itakavyokuwa wakati wa Mbingu na nchi Mpya kwamba Simba atakula majani kama mwana kondoo na ndio ilivyokuwa. Wanyama wote walikula Majani kama chakula chao including wanyama wa Majini.

Baada ya dhambi na anguko la Mwanadamu tunaona kuna uumbaji mwingine unatokea.
1. Mwanamke kuzaa kwa utungu(Zaidi ya Uchungu)
2. Ardhi kuotesha miiba ambayo haikuwepo mwanzo.
3. Kuumbwa kwa wadudu ardhini wana decompose. (Sijapata lugha nzuri ya kiswahili)
4. Nyoka kuondolewa miguu yake. Alikuwa na miguu 4 kwa kulingana na baadhi ya vitabu(Abrahamic Text)
5. Kila alacho nyoka hata umpe nyama atahisi anaingiza vumbi mdomoni (Sijajua nielezeje nieleweke)
6. Wanyama kufungwa kuongea lugha inayoeleweka na wanadamu kwani mwanzo walikuwa wanaongea na kuelewana kama ambavyo nyoka aliongea na Hawa.
7. Wanadamu kuingiwa na hofu juu ya wanyama waliotiishwa kwake(Uadui)

Baada ya kutoka kwenye gharika, Mungu anawapa Nugu na wanawe pamoja na wanyama wengine chakula kingine. Yaani "Nyama" ila anaambiwa asile "nyama pamoja na damu yake" ila akapewa na angalizo kuwa kila damu au uhai wa mnyama au binadamu inayomwagwa na mnyama au binadamu itadaiwa.

So tuna conclude kuwa hapo "mwanzo wanyama wote walikula Miche yenye mbegu na matunda yenye mbegu ndani yake"
 
Back
Top Bottom