GIBA KB
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 367
- 110
Wadogo zangu mliomaliza f6 mwaka huu,ongereni sana kwa kumaliza level ngumu na yenye changamoto nyingi.Serikali kwa kupitia wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa imearudisha mafunzo ya jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria.Wanaoenda jeshini kama ni mgonjwa hakikisha una vyeti vya ugonjwa wako ambavyo ni Valid(usighushi).
Mahitaji ya kawaida
Nenda na nguo chache za nyumbani,usisahau mahitaji yako ya kila siku kama mswaki,sabuni,mashuka,viatu vya michezo ni muhimu zaidi(raba),na mengine mengi.Nyembe pia ni muhimu sana,hakuna saloon wala barbershop jeshini.
Nauli ya kwenda na kurudi inarudishwa ukifika kikosi husika.
Fanya mazoezi ya kukimbia mara kwa mara ili kujiweka fiti kwa mazoezi ya jeshini.
Kama una tabia ya kutoroka itabidi uache.
Kutii amri ndio kila kitu ukiwa jeshini,fanya kazi husika muda husika.Do the right thing at the right time.