Kwa wanaoenda JKT tu,someni hii na uliza chochote

GIBA KB

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
367
Reaction score
110
Wadogo zangu mliomaliza f6 mwaka huu,ongereni sana kwa kumaliza level ngumu na yenye changamoto nyingi.Serikali kwa kupitia wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa imearudisha mafunzo ya jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria.Wanaoenda jeshini kama ni mgonjwa hakikisha una vyeti vya ugonjwa wako ambavyo ni Valid(usighushi).
Mahitaji ya kawaida
Nenda na nguo chache za nyumbani,usisahau mahitaji yako ya kila siku kama mswaki,sabuni,mashuka,viatu vya michezo ni muhimu zaidi(raba),na mengine mengi.Nyembe pia ni muhimu sana,hakuna saloon wala barbershop jeshini.
Nauli ya kwenda na kurudi inarudishwa ukifika kikosi husika.

Fanya mazoezi ya kukimbia mara kwa mara ili kujiweka fiti kwa mazoezi ya jeshini.

Kama una tabia ya kutoroka itabidi uache.
Kutii amri ndio kila kitu ukiwa jeshini,fanya kazi husika muda husika.Do the right thing at the right time.
 
Wakianza ile mikesha watafute muda wa kulala.Jeshini hamna muda wakulala.

Wasipokuwa wajanja watachizika.Fungua moyo imba chenja kwa morali
 
Sifa morali,chenja na kunywa maji mengi
 
Wadogo zangu mliomaliza f6 mwaka huu,ongereni sana kwa kumaliza level ngumu na yenye changamoto nyingi.Serikali kwa kupitia wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa imearudisha mafunzo ya jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria.Wanaoenda jeshini kama ni mgonjwa hakikisha una vyeti vya ugonjwa wako ambavyo ni Valid(usighushi).
Mahitaji ya kawaida
Nenda na nguo chache za nyumbani,usisahau mahitaji yako ya kila siku kama mswaki,sabuni,mashuka,viatu vya michezo ni muhimu zaidi(raba),na mengine mengi.Nyembe pia ni muhimu sana,hakuna saloon wala barbershop jeshini.
Nauli ya kwenda na kurudi inarudishwa ukifika kikosi husika.

Fanya mazoezi ya kukimbia mara kwa mara ili kujiweka fiti kwa mazoezi ya jeshini.

Kama una tabia ya kutoroka itabidi uache.
Kutii amri ndio kila kitu ukiwa jeshini,fanya kazi husika muda husika.Do the right thing at the right time.

Vipi kuhusu pocket money. yahitajika ili niweze kusurvive?
 
Ipende kazi yoyote utakayopewa na afande!JKT ni sehemu nzuri sana ya kujifunza mambo mengi na kufahamiana na watu wengi pia, ila wamewapunja muda maana miezi mitatu ni muda mfupi sana.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwa Asiyetaka kwenda atapatwa na nini

Utakutana na mkono wa sheria kwa kuwa umevunja sheria.Waziri wa ulinz na jkt alitoa onyo kwa wasioenda kuwa watashtakiwa
 
bila ya kusahau kuto kuvaa skin tight na boxa kwani utachubuka !
 
vile vile muache malingaling hata kama mzee wako ni kibopa wa govment
 
na mwisho ni mjitahidi msiwe ming'ao kwa utashindwa hata kubana job
 
Ubavu,unatumia maneno magumu sana,watu wa uraiani hawatakuelewa.
Sifa ya jeshi ni nidhamu na kutii amri basi
 
Back
Top Bottom