Kwa wanaofahamu chochote kuhusu hii mashine naomba mnipe muongozo tafadhali

Kwa wanaofahamu chochote kuhusu hii mashine naomba mnipe muongozo tafadhali

Tajiri Sinabay

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
1,333
Reaction score
3,619
Ni mashine ya kukaanga karanga.
Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi.
Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
Screenshot_20250307_090256_YouTube.jpg
 
Nunua mashine ya popcorn 🍿 inakaang'aa hata karanga vizuri mno.
Mashine ya popcorn ninayo ila nipo kwenye mchakato wa kufungua banda la hivi vitafunwa vikavu na viburudisho, hivo nimewazia na karanga za maganda ndiyo sababu naitaka hii.

Ama mashine ya popcorn inakaanga hadi karanga za maganda?
 
Mkuu umenikimbia huku sijuwi umeniona mjuaji sana! Ila nilisubiri unijibu (kama inakaanga zilizomenywa tu ) ili nikuulize namna ambavyo hizo karanga zilizomenywa zinakaangwa kwenye mashine ya popcorn.
Nunua mashine ya popcorn 🍿 inakaang'aa hata karanga vizuri mno.
 
Ni mashine ya kukaanga karanga.
Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi.
Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
View attachment 3262352
Kwanza uwe na mashinebya kusaga karanga kwa pembeni. Uwe karibu na sokoni, fanya kazi na wafanyabiashara wa mazao
 
Kwanza uwe na mashinebya kusaga karanga kwa pembeni. Uwe karibu na sokoni, fanya kazi na wafanyabiashara wa mazao
Asante mkuu kwa mchango wako, ila lengo langu ni kukaanga karanga za maganda na kuziuza kwa walaji.
 
Mimi ni fundi, hapo unacheza na temperature tu, umeme wake ni wa kawaida sana unaweza kufunga mota ya single phase
Hii ni ya gesi mkuu. Ama hiyo temperature ndiyo kubadilisha mfumo wa gesi ili kutumia umeme?

Asante pia kwa mchango wako.
 
Back
Top Bottom