Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Fafanua kidogo nduguTunasubira maelekezo, wahind wametupiga hela sana na hizi mashine!
Kuna ambazo zinatoka nje? Maana hii nimeitoa youtube jamaa wanasema wapo njombe.Tunasubira maelekezo, wahind wametupiga hela sana na hizi mashine!
Mashine ya popcorn ninayo ila nipo kwenye mchakato wa kufungua banda la hivi vitafunwa vikavu na viburudisho, hivo nimewazia na karanga za maganda ndiyo sababu naitaka hii.Nunua mashine ya popcorn 🍿 inakaang'aa hata karanga vizuri mno.
Nunua mashine ya popcorn 🍿 inakaang'aa hata karanga vizuri mno.
Kwanza uwe na mashinebya kusaga karanga kwa pembeni. Uwe karibu na sokoni, fanya kazi na wafanyabiashara wa mazaoNi mashine ya kukaanga karanga.
Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi.
Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
View attachment 3262352
Amesema ya gesiMimi ni fundi, hapo unacheza na temperature tu, umeme wake ni wa kawaida sana unaweza kufunga mota ya single phase
Asante mkuu kwa mchango wako, ila lengo langu ni kukaanga karanga za maganda na kuziuza kwa walaji.Kwanza uwe na mashinebya kusaga karanga kwa pembeni. Uwe karibu na sokoni, fanya kazi na wafanyabiashara wa mazao
Hii ni ya gesi mkuu. Ama hiyo temperature ndiyo kubadilisha mfumo wa gesi ili kutumia umeme?Mimi ni fundi, hapo unacheza na temperature tu, umeme wake ni wa kawaida sana unaweza kufunga mota ya single phase