Baadhi ya sifa ninazozifahamu:
Uwe na shamba lenye chanzo cha uhakika cha maji kwa ajiri ya umwagiliaji.
Kuna ada utalipia ya kuwa mwanachama
Uwe unalima mazao ya horticulture.
Faida
Utapata huduma za ushauri wa kilimo.
Watakusaidia kuhusu masoko,uhifadhi nk.
Utapata mafunzo ya kilimo.
Utaweza kuhudhuria maonesho mbalimbali ya kilimo.
Mawasiliano:
0763718849.
email:
tanzaniahorticulture@gmail.com.
Au tembelea page yao ya Instagram:taha_tanzania