Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran sana mkuu!Baadhi ya sifa ninazozifahamu:
Uwe na shamba lenye chanzo cha uhakika cha maji kwa ajiri ya umwagiliaji.
Kuna ada utalipia ya kuwa mwanachama
Uwe unalima mazao ya horticulture.
Faida
Utapata huduma za ushauri wa kilimo.
Watakusaidia kuhusu masoko,uhifadhi nk.
Utapata mafunzo ya kilimo.
Utaweza kuhudhuria maonesho mbalimbali ya kilimo.
Mawasiliano:
0763718849.
email:tanzaniahorticulture@gmail.com.
Au tembelea page yao ya Instagram:taha_tanzania
Ndiyo.Shukran sana mkuu!
Nimeipenda avatar yako. Wewe ni mfugaji?