Kwa wanaofahamu Tanzania hortculture Association (TAHA) | Umoja wa wakulima wa mbogamboga na matunda

Kwa wanaofahamu Tanzania hortculture Association (TAHA) | Umoja wa wakulima wa mbogamboga na matunda

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Nataka kujua;

1. Sifa za kujiunga.
2. Gharama za kujiunga.
3. Faida za kujiunga.
4. Ofisi zao hapa mbeya
 
Baadhi ya sifa ninazozifahamu:
Uwe na shamba lenye chanzo cha uhakika cha maji kwa ajiri ya umwagiliaji.
Kuna ada utalipia ya kuwa mwanachama
Uwe unalima mazao ya horticulture.

Faida
Utapata huduma za ushauri wa kilimo.
Watakusaidia kuhusu masoko,uhifadhi nk.
Utapata mafunzo ya kilimo.
Utaweza kuhudhuria maonesho mbalimbali ya kilimo.

Mawasiliano:
0763718849.
email:tanzaniahorticulture@gmail.com.
Au tembelea page yao ya Instagram:taha_tanzania
 
Shukran sana mkuu!

Nimeipenda avatar yako. Wewe ni mfugaji?
 
Shukran sana mkuu!

Nimeipenda avatar yako. Wewe ni mfugaji?
Ndiyo.
Mimi ni nafuga ng'ombe wa maziwa, ng'ombe wa nyama,mbuzi,kondoo na mkulima wa nyasi aina za Juncao na Super napier kwa ajili ya malisho ya wanyama.
 
Back
Top Bottom