Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Weka matumiz yake hapa hadharani,
Za nini sasa?
Nimekuewa SanaZa nini sasa?
Habari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika na mpaka sasa zimebak 7 tu(wahi sasa)
Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane 0625547181 au telegram @TomaaMireni.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group smatskills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine. Asanteni
Pamoja sana,hadi Lindi nimetuma leo
Asante Sana Bro Tomaa Kwa Moyo Wako Mzuri Wa Kutusaidia Kuendelea Kuwa Name Urahisi Wa Upatikanaji Wa Huduma Za Kitechnologia. Hasa Zaidi Juu Ya Upatikanaji wa Hizi Line Za Safaricom Hakika Zinanisaidia kwa Mambo Mengi Sana Ikiwemo #Kutoa na Kupokea PESA PAYPAL, #Kutuma na Kupokea PESA Mpesa, [emoji39]Pia Bonus za Vocha Ya Mpaka 1000Ksh Hakika Safaricom Inanisaidia.
Asante Sana Mister Tomaa Pia Zile Line 7 Nyingine Nimezipata pia Thanks Sana.
Unatumiwa tu kene bas mzeeMkuu ntapata vp hiyo line nipo jiran na arusha
Kama wewe ni mtu wa online business na unapokea malipo yako kupitia PayPal basi laini ya Safaricom ni muhimu kwa sababu ukiwa nayo unaweza fungua PayPal ya Kenya na ukalink na M-pesa ya Safaricom na utakuwa unaweza kutoa pesa kutoka PayPal kwa muda usiozidi masaa mawili tu! Binafsi ninayo na natumia! Inanisaidia sana...Za nini sasa?
Inakuaga imesajiriwa kabisa full registration kule kule Kenya tena kwa National ID, Na number za ID unapewa/zmeandikwa kwenye registration form baada ya kukamilisha usajiri wake.. Swala la kutumia WhatsApp kusumbua watu hii ni mtu mwenyewe na matatizo yake au akiri zake! Sidhani kama ndio matumizi yake hayo..Inasajiliwaje na TCRA? Au ndio wale wengine wanatukana na kupost uchochezi WhatsApp kwa namba za nje ya TZ kumbe usajili wake magumashi?
Tuwe na tahadhari
Ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia... Hongera!Serikali ingilieni Kati ufirauni huu Safaricom na Tanzania wapi na wapi?
Ndio wanazo bundles zinaitwa International Roaming Bundles but hizo bundles ni ghali sana...Mkuu, matumizi yake ni kama mitandao mingine ya hapa kwetu? I mean wana data bundles and dakika za kuongea!
Inasajiliwaje na TCRA? Au ndio wale wengine wanatukana na kupost uchochezi WhatsApp kwa namba za nje ya TZ kumbe usajili wake magumashi?
Tuwe na tahadhari
Hata me kanishangaza sana huyo jamaa! Sijui watu wengine huwa wanawaza nini tu ani... [emoji16][emoji16][emoji16]Achana na akili za ki-ccm hizo. Watu wanafikiria namna ya kurahisisha kupokea fedha na kulipia vitu au huduma (kwa kuwa mazingira ya hapa sio rafiki) wewe unafikiria kutukana na hicho mnachokiita uchochezi!