Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Asante Sana Bro Tomaa Kwa Moyo Wako Mzuri Wa Kutusaidia Kuendelea Kuwa Name Urahisi Wa Upatikanaji Wa Huduma Za Kitechnologia. Hasa Zaidi Juu Ya Upatikanaji wa Hizi Line Za Safaricom Hakika Zinanisaidia kwa Mambo Mengi Sana Ikiwemo #Kutoa na Kupokea PESA PAYPAL, #Kutuma na Kupokea PESA Mpesa, [emoji39]Pia Bonus za Vocha Ya Mpaka 1000Ksh Hakika Safaricom Inanisaidia.

Asante Sana Mister Tomaa Pia Zile Line 7 Nyingine Nimezipata pia Thanks Sana.
Hii msg imekaa kama zile msg za kitapeli za"Mjukuu wangu baada ya kukutumia ile dawa na ukanunua mabasi mapya 10 umeshindwa kunitumia yule jogoo mweusi"?.
 
Asante Sana Bro Tomaa Kwa Moyo Wako Mzuri Wa Kutusaidia Kuendelea Kuwa Name Urahisi Wa Upatikanaji Wa Huduma Za Kitechnologia. Hasa Zaidi Juu Ya Upatikanaji wa Hizi Line Za Safaricom Hakika Zinanisaidia kwa Mambo Mengi Sana Ikiwemo #Kutoa na Kupokea PESA PAYPAL, #Kutuma na Kupokea PESA Mpesa, [emoji39]Pia Bonus za Vocha Ya Mpaka 1000Ksh Hakika Safaricom Inanisaidia.

Asante Sana Mister Tomaa Pia Zile Line 7 Nyingine Nimezipata pia Thanks Sana.
@tomaa mireni umeamua kuwa na ID mbili na kujijibu thread yako....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa inasajiliwa kwa ID za Kenya na kupewa registration number pindi unapomalizia usajili kwahiyo jina linaandikwa la nani au mtu wa Kenya?, na wa kwa mikoa iliyo mbali na Kenya kama Mtwara, Iringa, Ruvuma wanatumia minara ipi?, maana kwa wa Arusha na Kilimanjaro ni rahis kushika ya Kenya
 
Kwani hakuna wafanyabishara wanaoenda Kenya?? Kama ni wasap mpka leo hujui kutumia no ya US kujiunga??? Acha ushamba bhana,line hizi zina kaz na ni muhimu kwa kuwasiliana online business. Ww kama unashinda facebook kuchat ujinga huwez jua kaz zake. Pita hivi[emoji117]
Inasajiliwaje na TCRA? Au ndio wale wengine wanatukana na kupost uchochezi WhatsApp kwa namba za nje ya TZ kumbe usajili wake magumashi?
Tuwe na tahadhari
 
Achana na akili za ki-ccm hizo. Watu wanafikiria namna ya kurahisisha kupokea fedha na kulipia vitu au huduma (kwa kuwa mazingira ya hapa sio rafiki) wewe unafikiria kutukana na hicho mnachokiita uchochezi!
Asante boss wangu japo sikujui
 
Asante Sana Bro Tomaa Kwa Moyo Wako Mzuri Wa Kutusaidia Kuendelea Kuwa Name Urahisi Wa Upatikanaji Wa Huduma Za Kitechnologia. Hasa Zaidi Juu Ya Upatikanaji wa Hizi Line Za Safaricom Hakika Zinanisaidia kwa Mambo Mengi Sana Ikiwemo #Kutoa na Kupokea PESA PAYPAL, #Kutuma na Kupokea PESA Mpesa,
Multiple IDs.

StVpid
 
Sasa inasajiliwa kwa ID za Kenya na kupewa registration number pindi unapomalizia usajili kwahiyo jina linaandikwa la nani au mtu wa Kenya?, na wa kwa mikoa iliyo mbali na Kenya kama Mtwara, Iringa, Ruvuma wanatumia minara ipi?, maana kwa wa Arusha na Kilimanjaro ni rahis kushika ya Kenya
Usajiri unakamilika kwa kutumia details za raia wa Kenya! Kuhusu kushika network ni TZ nzima zinashika pale ambapo kuna mtandao wa Vodacom, Halotel, tiGo na Airtel... Kwa kutumia technology ya Roaming, kumbe hata ukiwa kwenye handaki inashika tu au porini kwa sabu Halotel inapatikana hata porini huko.... Mfano me niko mkoa wa kusini huku na natumia bila shida na huwa sometimes najiunga bundles za International Roaming na kuwasiliana na mshkaji wangu mkenya yuko kule Erdoret...

Sent from my Infinix X5514D using Tapatalk
 
Mbali na hiyo paypal huduma nyingine ya malipo ni hipi na nikitaka kufund pesa nikiwa hapa bongo inawezekana?
 
Back
Top Bottom