Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Ninayo hiyo Line tokea mwaka 2012
Kwa Watanzania ningumu sana kuitumia hii ghalama zake ni juu sana
 
Mnajitia aibu tu hapa kujadiri mambo yalio nje ya uwezo na uelewa wenu.....!
Maswali mengi ili uonekane uko Makini kumbe Bure kabisa.....

Kwani lazima mchangie kila kitu, vitu vingine mnaacha vinavyowahusu wapeane taarifa basi....Mnaboa na wenzio.....!
 
Ninayo hiyo Line tokea mwaka 2012
Kwa Watanzania ningumu sana kuitumia hii ghalama zake ni juu sana
Chief! Hiyo line sio kwa matumizi ya Roaming, ni kwa ajiri ya Registration za Paypal tu, may be Ku transfer pesa toka Mobile wallet ya Safaricom to Mpesa basi!

Fatilieni mijadala ya Paypal hapa jukwaani utaelewa, hasa kama ni mdau, kama sio mdau unakausha tu!
 
Kuna member humu walikuwa wakipiga hela kilaini ila Baada ya kukinukisha
au kupata mitaji Yao kiujanja ujanja wamesepaa kimoja!!
Wako wapi Mzee wa boga. munjy1 Paje Njunwa Wamavoko na wengineo?
 
Jibu basi mkuu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…