Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Nyie mnanunua line mjiulize haya kabla ya maamuzi+

1. zimesajiliwa kwajina gani au zinasajiliwa vp?

2. Kama zimesajiliwa tayari Hilo jina NI lako vp siku mamlaka husika wakikutuhumu Hilo jina lililosajiliwa limefanya uhalifu na wanaamini n wewe?

3. Kama mnaitumia kwa matumizi ya kifedha na line imekuja ishasajiliwa tayari huoni Kuna uwezekano wa kupoteza pesa zako baada ya kudeposit pesa kwenye hyo lain

Haya kikwete alisema zakuambiwa changanya nazako
MAGUFULI naye alisema za mbayuwayu changanya nazako
 
[emoji57][emoji57] kinachonifurahisha wakati wewe unajiuliza huku line zimeisha,na zinakuja nyingine...ww endelea kujiuliza tu,leta tena ushauri mwingine

Mie siwez risk pesa zangu kizembe hzo transactions nafanya 🏦 popote pale na saa yoyote ile bila shida Wala kikwazo.

Ungekuwa smart ungejibu maswali yangu vizuri ili wateja wako wakuelewe ila unavyoanza kuhamisha magoli unawatia wasiwasi wanaotaka kukuchangia binafsi naelewa utaratibu wa kupata line za Kenya ndo Mana nikawa nakuuliza kuhusu usalama wa account ya M-Pesa kwenye hzo line.
 
Siwezi kupoteza muda kujibu maswali yaliyokufa boss... kikubwa ww endelea kiwa na wasi was lakini line zimeisha.

Nitajie transactation moja tu unayofanya toka nje kwa bank?
Mie siwez risk pesa zangu kizembe hzo transactions nafanya [emoji542] popote pale na saa yoyote ile bila shida Wala kikwazo.

Ungekuwa smart ungejibu maswali yangu vizuri ili wateja wako wakuelewe ila unavyoanza kuhamisha magoli unawatia wasiwasi wanaotaka kukuchangia binafsi naelewa utaratibu wa kupata line za Kenya ndo Mana nikawa nakuuliza kuhusu usalama wa account ya M-Pesa kwenye hzo line.
 
Habari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika na mpaka sasa zimebak 7 tu(wahi sasa)
Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane 0625547181 au telegram @TomaaMireni.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group smatskills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine. Asanteni
Boy link ya Telegram plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie siwez risk pesa zangu kizembe hzo transactions nafanya [emoji542] popote pale na saa yoyote ile bila shida Wala kikwazo.

Ungekuwa smart ungejibu maswali yangu vizuri ili wateja wako wakuelewe ila unavyoanza kuhamisha magoli unawatia wasiwasi wanaotaka kukuchangia binafsi naelewa utaratibu wa kupata line za Kenya ndo Mana nikawa nakuuliza kuhusu usalama wa account ya M-Pesa kwenye hzo line.
wakati mwenzio anapokea hela in 2 hours wewe unasubiri siku ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuaga imesajiriwa kabisa full registration kule kule Kenya tena kwa National ID, Na number za ID unapewa/zmeandikwa kwenye registration form baada ya kukamilisha usajiri wake.. Swala la kutumia WhatsApp kusumbua watu hii ni mtu mwenyewe na matatizo yake au akiri zake! Sidhani kama ndio matumizi yake hayo..
Hizo ID ni za nani wanazo tumia?

MGC
 
Sijawahi lakini najua how it works vizuri kabisa, And over a very long time nilikuwa natafuta line ya safaricom... So mpaka hapa issue yangu ishakuwa solved

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakushauri nenda pale vodacom wakakupe maelezo mazuri jinsi ya kutumia mpesa MasterCard ukishafahu hilo muulize akuelekeze jinsi ya kudeposit na withdraw pesa kutoka mpesa MasterCard kwenda PayPal,

Kutokujua kwako haaminishi kuwa haiwezekani

Mpaka hapa hakuna kitu unachoweza kunifundisha. Kwa taarifa yako hizo mastercard za mpesa hazipokei hela zinatoa tu,

Pia kwa tanzania huwezi kuwithdraw hela kutoka paypal. Huo ndiyo ukweli.

Hiyo ishu ya mpesa kenya kupokea hela kutoka skrill na paypal naifahamu vizuri sana.

Mkuu Mimi nimekuelekeza tu kwa wahusika sahihi maana mpesa MasterCard ndio naitumia kwa manunuzi mengi ya online na PayPal naitumia nishafanya hivyo nikafanikiwa

Umewahi pokea pesa na hiyo mastercard yako??? tuachane na kulipia maana kama kulipia nadhani nina card karibu ya kila bank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom