Kwa wanaoifahamu Zambia; Msaada tafadhali nahitaji kwenda kufanya biashara huko

Kwani hujafika huko? Maana inabidi ujue hizo gharama za kuishi.
Sijafika na ndo lengo la kuleta huu uzi ili ambae ameshawai kuishi au ana information anipatie majibu pia naamin kupitia uzi huu hata wengine watajifunza kitu
 
Well Mimi nimeishi central province- kapiri mposhi! Biashara ya viatu inatembea na mzunguko mkubwa ni Lusaka, Ndola, hata kapiri ila kitu sijajua unataka kuja ego ego au unafungua shop? Kama ego ego ( mkononi) isibebe vingi trip ya kwanza beba chache uza na zunguka upate order za madukani! Una mwenjeji
 
Amesema hana ndugu wala Jamaa,mi ntafikia ubalozini mambo mengine yataeleweka huko huko. Tuambie na fursa nyingine mkuu.
 
Hapana mkuu sina mwenyeji huko...
 
Gharama za maisha ya kule zikoje mkuu na kikubwa kabisa lengo la kwenda huko ni kutengeneza mazingira na kutafuta wateja wa kuwauzia jumla hata nikiwa huku dar niwe nawatumia mizigo na kutengeneza connection nzuri
 
Amesema hana ndugu wala Jamaa,mi ntafikia ubalozini mambo mengine yataeleweka huko huko. Tuambie na fursa nyingine mkuu.
Ufikie ubalozi una capital kubwa sana eeh? Utakutana na complications nyingi! Unajua kufanya biashara nchi ya watu unatakiwa ugonge BV (business visa) ambayo kwa mjasiliamali unayekuja kuanza si nzuri coz INA gharama kubwa! Unatakiwa uje na VV ( visiting visa) bure na kamzigo kako kidogo huku unaendelea kusom ramani zingine! Fanya research which part of Zambia u want to trade ili uende huko strait!
 
Gharama za maisha ya kule zikoje mkuu na kikubwa kabisa lengo la kwenda huko ni kutengeneza mazingira na kutafuta wateja wa kuwauzia jumla hata nikiwa huku dar niwe nawatumia mizigo na kutengeneza connection nzuri
Maisha Zmb ni kawaida tofauti ipo kidogo Mimi nafanya catering! Lodge ni kuanzia Kwacha 100 kama 23,000-25,000 ya Tz za chini ya hapo unaweza pata ila sio ktk Mimi mikubwa. Chakula kipo juu kidogo sahani inaanzia kwach 15-10 yaan 2500 -3500! Kibiashara si pabaya kuna watanzania wengi Comesa market Lusaka!
 
Maisha ya zambia sio makali sana, ni kama kibongobongo tu, ila wazambia wenyewe ndio tatizo, wana ubinafsi mno, yaani wewe ukienda kule wanakuona kama ndala tu ambazo umuhimu wake ni msalani
Inategemea miji gani sema Wao wana English ways of living yaan kila mtu kivyake! Hawan ujamaa kama sisi! Hata askari Wao hawana shida Uwe strait tuu! Mimi nimeishi kapiri na nimepanga mtaani liver side nafanya biashara yangu bila usumbufu!
 
Huo ndio ubinafsi “mamdala “
 
Inategemea miji gani sema Wao wana English ways of living yaan kila mtu kivyake! Hawan ujamaa kama sisi! Hata askari Wao hawana shida Uwe strait tuu! Mimi nimeishi kapiri na nimepanga mtaani liver side nafanya biashara yangu bila usumbufu!
Gharama ya chumba ni kiasi gani kwa huko
 
Kwa chumba cha kupanga
 
Gharama ya chumba ni kiasi gani kwa huko
Kwacha 120-100 kwa chumba (25-30) kimoja! Kibiashara ila kuna nyumba za gharama pia kama ukiamua kuweka makazi ya rasmi ila kama una nenda rudi za Tz to Zmb simple inafaa!
 
Shukran sana mkuu...mambo mengine ntayajua nikifika huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…