Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijafika na ndo lengo la kuleta huu uzi ili ambae ameshawai kuishi au ana information anipatie majibu pia naamin kupitia uzi huu hata wengine watajifunza kituKwani hujafika huko? Maana inabidi ujue hizo gharama za kuishi.
Hahah sio utoe majibu ya maswali yalioulizwa..?Nasubiri majibu
Poa poa ngoja tusubilie woteNimetulia hapa nasikilizia majibu.
Well Mimi nimeishi central province- kapiri mposhi! Biashara ya viatu inatembea na mzunguko mkubwa ni Lusaka, Ndola, hata kapiri ila kitu sijajua unataka kuja ego ego au unafungua shop? Kama ego ego ( mkononi) isibebe vingi trip ya kwanza beba chache uza na zunguka upate order za madukani! Una mwenjeji
Amesema hana ndugu wala Jamaa,mi ntafikia ubalozini mambo mengine yataeleweka huko huko. Tuambie na fursa nyingine mkuu.Well Mimi nimeishi central province- kapiri mposhi! Biashara ya viatu inatembea na mzunguko mkubwa ni Lusaka, Ndola, hata kapiri ila kitu sijajua unataka kuja ego ego au unafungua shop? Kama ego ego ( mkononi) isibebe vingi trip ya kwanza beba chache uza na zunguka upate order za madukani! Una mwenjeji
Hapana mkuu sina mwenyeji huko...Well Mimi nimeishi central province- kapiri mposhi! Biashara ya viatu inatembea na mzunguko mkubwa ni Lusaka, Ndola, hata kapiri ila kitu sijajua unataka kuja ego ego au unafungua shop? Kama ego ego ( mkononi) isibebe vingi trip ya kwanza beba chache uza na zunguka upate order za madukani! Una mwenjeji
Hahaha na we unahitaji kwenda nn huko tujuane mapemaAmesema hana ndugu wala Jamaa,mi ntafikia ubalozini mambo mengine yataeleweka huko huko. Tuambie na fursa nyingine mkuu.
Gharama za maisha ya kule zikoje mkuu na kikubwa kabisa lengo la kwenda huko ni kutengeneza mazingira na kutafuta wateja wa kuwauzia jumla hata nikiwa huku dar niwe nawatumia mizigo na kutengeneza connection nzuriWell Mimi nimeishi central province- kapiri mposhi! Biashara ya viatu inatembea na mzunguko mkubwa ni Lusaka, Ndola, hata kapiri ila kitu sijajua unataka kuja ego ego au unafungua shop? Kama ego ego ( mkononi) isibebe vingi trip ya kwanza beba chache uza na zunguka upate order za madukani! Una mwenjeji
Ufikie ubalozi una capital kubwa sana eeh? Utakutana na complications nyingi! Unajua kufanya biashara nchi ya watu unatakiwa ugonge BV (business visa) ambayo kwa mjasiliamali unayekuja kuanza si nzuri coz INA gharama kubwa! Unatakiwa uje na VV ( visiting visa) bure na kamzigo kako kidogo huku unaendelea kusom ramani zingine! Fanya research which part of Zambia u want to trade ili uende huko strait!Amesema hana ndugu wala Jamaa,mi ntafikia ubalozini mambo mengine yataeleweka huko huko. Tuambie na fursa nyingine mkuu.
Maisha Zmb ni kawaida tofauti ipo kidogo Mimi nafanya catering! Lodge ni kuanzia Kwacha 100 kama 23,000-25,000 ya Tz za chini ya hapo unaweza pata ila sio ktk Mimi mikubwa. Chakula kipo juu kidogo sahani inaanzia kwach 15-10 yaan 2500 -3500! Kibiashara si pabaya kuna watanzania wengi Comesa market Lusaka!Gharama za maisha ya kule zikoje mkuu na kikubwa kabisa lengo la kwenda huko ni kutengeneza mazingira na kutafuta wateja wa kuwauzia jumla hata nikiwa huku dar niwe nawatumia mizigo na kutengeneza connection nzuri
Inategemea miji gani sema Wao wana English ways of living yaan kila mtu kivyake! Hawan ujamaa kama sisi! Hata askari Wao hawana shida Uwe strait tuu! Mimi nimeishi kapiri na nimepanga mtaani liver side nafanya biashara yangu bila usumbufu!Maisha ya zambia sio makali sana, ni kama kibongobongo tu, ila wazambia wenyewe ndio tatizo, wana ubinafsi mno, yaani wewe ukienda kule wanakuona kama ndala tu ambazo umuhimu wake ni msalani
Inategemea miji gani sema Wao wana English ways of living yaan kila mtu kivyake! Hawan ujamaa kama sisi! Hata askari Wao hawana shida Uwe strait tuu! Mimi nimeishi kapiri na nimepanga mtaani liver side nafanya biashara yangu bila usumbufu!
Aah mwaiche, sure?Huo ndio ubinafsi “mamdala “
Gharama ya chumba ni kiasi gani kwa hukoInategemea miji gani sema Wao wana English ways of living yaan kila mtu kivyake! Hawan ujamaa kama sisi! Hata askari Wao hawana shida Uwe strait tuu! Mimi nimeishi kapiri na nimepanga mtaani liver side nafanya biashara yangu bila usumbufu!
Kwa chumba cha kupangaInategemea miji gani sema Wao wana English ways of living yaan kila mtu kivyake! Hawan ujamaa kama sisi! Hata askari Wao hawana shida Uwe strait tuu! Mimi nimeishi kapiri na nimepanga mtaani liver side nafanya biashara yangu bila usumbufu!
Kwacha 120-100 kwa chumba (25-30) kimoja! Kibiashara ila kuna nyumba za gharama pia kama ukiamua kuweka makazi ya rasmi ila kama una nenda rudi za Tz to Zmb simple inafaa!Gharama ya chumba ni kiasi gani kwa huko
Shukran sana mkuu...mambo mengine ntayajua nikifika hukoKwacha 120-100 kwa chumba (25-30) kimoja! Kibiashara ila kuna nyumba za gharama pia kama ukiamua kuweka makazi ya rasmi ila kama una nenda rudi za Tz to Zmb simple inafaa!