Josbet thobias
Member
- Jan 23, 2018
- 11
- 0
Unaweza kunisaidia kujua gharana za usafiri kufika hukoMimi nimekaa kitwe Mji ule nimeupenda sana....nmekaa nkana East,nmekaa musenga....pia na chingola....Nlikuwa nafata skrepa enzi hizo.....
Ova
No visa mkuu ni passport yako ya kijani tu plus kadi ya manjano.Zambia inahitaji visa? Kama ndio unaipata on arrival Au inabidi ugonge ubalozini kwao hapa bongo?
Kesho ntakupa jibu....ntakulizia jamaa wa taqwa bus.....Unaweza kunisaidia kujua gharana za usafiri kufika huko
Wanapenda ugali kama wasukuma.Safi sana, natamani pia kuishi Zambia... Japo biashara sijui ni IPI...huko soko la comesa ndo mpango mzuri. Mimi ni mshauri miradi...
Yeah! Upo sahihi Mkuu, this time nipo Luanshya, ni mji mdogo kati ya Ndola na Kitwe!Mimi nimekaa kitwe Mji ule nimeupenda sana....nmekaa nkana East,nmekaa musenga....pia na chingola....Nlikuwa nafata skrepa enzi hizo.....
Ova
Ndola,kapiri,lusaka Kote nmekaaYeah! Upo sahihi Mkuu, this time nipo Luanshya, ni mji mdogo kati ya Ndola na Kitwe!
Hivi stendi ya mabasi bado iko kitwe sehemu za kembiiYeah! Upo sahihi Mkuu, this time nipo Luanshya, ni mji mdogo kati ya Ndola na Kitwe!
Sure...ila mm nimependa mipangilio ya miji yao, sio kama Bongo!Ndola,kapiri,lusaka Kote nmekaa
Ila kitwe nlipapenda zaidi maana zile trip za kongo na zambia.....nmekaona bora nwekee kambi musenga.....ndani kule kuna shamba la mzungu yule anaitwa appollo anafuga ngombe wengi wa maziwa....ana ranch kubwa sanaa
Hko nkawa nakaa na mzambia mmoja
Pia kamji cha chingola kimekaa kama vimji vya uingereza pia pametulia sana
Pia nlibahatika kutembelea migodi Yao mikubwa ya Shaba ya luanshya na chilalabombwe ndani hko si mchezo
Migodi Yao Ukienda na makazi ya watu jirani si mchezo kuna barabara nzuri,maji,shule etc hakuna vumbi sana kama huku kwetu maana Ukienda geita na sehemu zingine ni balaaa vumbiii tu ukiambiwa hko inatoka dhahabu huwezi amini
Ova
Si mwenyeji sana Kitwe Mkuu, sina uhakika sana na jina la stand ilipo.Hivi stendi ya mabasi bado iko kitwe sehemu za kembii
Ova
Nkana East pamepangilika,Ukienda riverside napo hvyo hvyo mkuuSure...ila mm nimependa mipangilio ya miji yao, sio kama Bongo!
Kitu cha nshimaaaa nakimiss sanaSi mwenyeji sana Kitwe Mkuu, sina uhakika sana na jina la stand ilipo.
wee ndo mtu wa maana kupata ushauri wa biashara ya urembo na vitenge je biashra hiyo inalipa kule mkuuNkana East pamepangilika,Ukienda riverside napo hvyo hvyo mkuu
Wazambia Licha na umaskini wao lkn wana ustarabu sana.....Hata wa kuishi
Ila ile Style Yao ya mwanamke anakuja kukusalimiaaa kwa magoti Nlikuwa sipendi dah........
Ova
Maeneo gani maana mm nipo hapa dar sijui hata fununu za kipande hichowee ndo mtu wa maana kupata ushauri wa biashara ya urembo na vitenge je biashra hiyo inalipa kule mkuu
Nshimaaa ipo kawaida, vyakula bado juu, especially Mchele, Michele wa Mbeya unapendwa sana huku! Ni dealKitu cha nshimaaaa nakimiss sana
Sema vyakula bei juu sjui sahv iko vp
Ova
Kwanini usitoe huo ushauri wako hapa hapa ndugu..?!i have been there,ushaur wangu zambia ni nch nzur kibiashara bt ina wagen weng sana,yan utaktana na watanzania,wakongo na wengne weng wanafanya biashara huko.ubaya ni kuwa opportunity nying zishakuwa coverd na wagen waliovamia hyo nchi.
Ushaur.
Njoo nikushaur nch ya kwenda,na biashara yakufanya.