Kwa wanaoifahamu Zambia; Msaada tafadhali nahitaji kwenda kufanya biashara huko

Zambia inahitaji visa? Kama ndio unaipata on arrival Au inabidi ugonge ubalozini kwao hapa bongo?
No visa mkuu ni passport yako ya kijani tu plus kadi ya manjano.
SADC nadhani ni DRC na Angola tu ndo wana visa km sikosei
 
Safi sana, natamani pia kuishi Zambia... Japo biashara sijui ni IPI...huko soko la comesa ndo mpango mzuri. Mimi ni mshauri miradi...
Wanapenda ugali kama wasukuma.
Comesa naona watu wa mataifa mbali mbali wanafanya biashara. Kwa elimu yako watakiwa ufike ufanye visibility study ya jicho la 3 mkuu
 
Mimi nimekaa kitwe Mji ule nimeupenda sana....nmekaa nkana East,nmekaa musenga....pia na chingola....Nlikuwa nafata skrepa enzi hizo.....

Ova
Yeah! Upo sahihi Mkuu, this time nipo Luanshya, ni mji mdogo kati ya Ndola na Kitwe!
 
Ndola,kapiri,lusaka Kote nmekaa
Ila kitwe nlipapenda zaidi maana zile trip za kongo na zambia.....nmekaona bora nwekee kambi musenga.....ndani kule kuna shamba la mzungu yule anaitwa appollo anafuga ngombe wengi wa maziwa....ana ranch kubwa sanaa
Hko nkawa nakaa na mzambia mmoja
Pia kamji cha chingola kimekaa kama vimji vya uingereza pia pametulia sana
Pia nlibahatika kutembelea migodi Yao mikubwa ya Shaba ya luanshya na chilalabombwe ndani hko si mchezo
Migodi Yao Ukienda na makazi ya watu jirani si mchezo kuna barabara nzuri,maji,shule etc hakuna vumbi sana kama huku kwetu maana Ukienda geita na sehemu zingine ni balaaa vumbiii tu ukiambiwa hko inatoka dhahabu huwezi amini

Sure...ila mm nimependa mipangilio ya miji yao, sio kama Bongo!
 
Nkana East pamepangilika,Ukienda riverside napo hvyo hvyo mkuu
Wazambia Licha na umaskini wao lkn wana ustarabu sana.....Hata wa kuishi
Ila ile Style Yao ya mwanamke anakuja kukusalimiaaa kwa magoti Nlikuwa sipendi dah........

Ova
 
gharama tanzania zambia ni panda gari Dar ukalale tunduma kwa 45000 hadi 50000tsh. na ukishagonga pass yako basi unavukia nakonde kutoka nakonde lusaka au kitwe ni kwacha kati ya 130 hadi 150 ni wastani wa shilingi 50000 za bongo zambia kuzuri.
 
Nkana East pamepangilika,Ukienda riverside napo hvyo hvyo mkuu
Wazambia Licha na umaskini wao lkn wana ustarabu sana.....Hata wa kuishi
Ila ile Style Yao ya mwanamke anakuja kukusalimiaaa kwa magoti Nlikuwa sipendi dah........

Ova
wee ndo mtu wa maana kupata ushauri wa biashara ya urembo na vitenge je biashra hiyo inalipa kule mkuu
 
Napanga Kwenda huko Zambia Next week ila napata shaka la Mpakani naambiwa maaskari wao wanapenda rushwa atakama unavibali wanakusumbua ili uwape kitu kama utoi wanakufanyia mizengwe gari inakuacha.. Kingine bado sijapata uhakika wa biashara ninayotaka kwenda kufanya so ninataka kwenda kufanya utafiti ila sijui itanigharimu kiasi gan cha pesa na je nitakaa siku ngapi katika kujiridhisha aina ya biashara niitakayo... Dah.. Kichwa kinagonga ila moyo umekuwa ukitamani sana biashara kati yangu TZ na Zambia
 
i have been there,ushaur wangu zambia ni nch nzur kibiashara bt ina wagen weng sana,yan utaktana na watanzania,wakongo na wengne weng wanafanya biashara huko.ubaya ni kuwa opportunity nying zishakuwa coverd na wagen waliovamia hyo nchi.
Ushaur.
Njoo nikushaur nch ya kwenda,na biashara yakufanya.
 
Kwanini usitoe huo ushauri wako hapa hapa ndugu..?!
 
Back
Top Bottom