Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,102
Kg 1 ya mchele huo inauzwaje huko Zambia..? Jee, nahitaji vibali gani au nini kuingiza mchele huo huko..?Nshimaaa ipo kawaida, vyakula bado juu, especially Mchele, Michele wa Mbeya unapendwa sana huku! Ni deal
Serious people only,nitaa uzi maalum kuhusu hiliKwanini usitoe huo ushauri wako hapa hapa ndugu..?!
,nitaandaa uzi maalum kuhusu hiliKwanini usitoe huo ushauri wako hapa hapa ndugu..?!
Ushauri mmoja tu ni!inabidi ufanye kama ukatembe zambia ukajione mwenyewe najua hapo utafaidika na utajifunza vitu fulaniwee ndo mtu wa maana kupata ushauri wa biashara ya urembo na vitenge je biashra hiyo inalipa kule mkuu
PM ndio mdudu gani wewe, weka maujanja hapa,kieleweke watu wapate fursai have been there,ushaur wangu zambia ni nch nzur kibiashara bt ina wagen weng sana,yan utaktana na watanzania,wakongo na wengne weng wanafanya biashara huko.ubaya ni kuwa opportunity nying zishakuwa coverd na wagen waliovamia hyo nchi.
Ushaur.
Njoo nikushaur nch ya kwenda,na biashara yakufanya.
Nishaanzisha thread kuhusu jambo hli.just follow mePM ndio mdudu gani wewe, weka maujanja hapa,kieleweke watu wapate fursa
Huku wanauza kwa Kisado kile cha 5 kg, rejareja Michele Super wa Mbeya $ 7 mpaka $8Kg 1 ya mchele huo inauzwaje huko Zambia..? Jee, nahitaji vibali gani au nini kuingiza mchele huo huko..?
$7 mpaka $9 kwa 5 kg...Kg 1 ya mchele huo inauzwaje huko Zambia..? Jee, nahitaji vibali gani au nini kuingiza mchele huo huko..?
Namibia wanapenda vitu vya asilimia ni wazuri ila usithubutu kuoa wakorofi sana wanawake wao utapelekeshwa hadi ukomeMr Mimi mwaka Jana nilienda Zambia kupeleka viatu vya culture lkn nikakuta bei yao ni ndogo na nikaona haina maslahi..nikaamua kupitiliza hadi Namibia ndipo nikakuta soko lipo vizuri..
Lakini wakati naenda Namibia sikuwa na ndugu wala jamaa Ila nilikomaa kiubishi na MUNGU akanikutanisha na watu..
Mchele na ndizi watu wa Mbeya wanapeleka sana Zambia ukitaka kujua nenda tunduma ongea na wafanyabiashara.Ndizi za kutoka Kilimanjaro pia zinapelekwa sana Zambia.Ukienda soko LA Comesa Lusaka asilimia kubwa ni watanzania hasa wachaga ni wengi mno.Pia Zambia kuna fursa ya elimu ya msingi .Elimu yao iko chini sana mtoto wa kitanzania ukimhamishia kule lazima ashike Kumi bora hata kama alikuwa anakuwa wa mwisho darasani.Wachaga wengi watoto wao wamepeleka watoto wao primary Zambia kusoma sylabus ile ya Zambia sio international na wanawaburuza wazambia sio mchezo kwenye hizo shule.Mwanao kama primary Tanzania anaonekana mjinga mpeleke ZambiaHuku wanauza kwa Kisado kile cha 5 kg, rejareja Michele Super wa Mbeya $ 7 mpaka $8
But kwa Super Market inakua zaidi, hiyo bei ni ya mtaani, pia sehemu nyingine inaongezeka.
Aje wapi umshauri? Na kwanini usingetoa ushauri hapa hapa ili iwe faida kwa wote mkuu?i have been there,ushaur wangu zambia ni nch nzur kibiashara bt ina wagen weng sana,yan utaktana na watanzania,wakongo na wengne weng wanafanya biashara huko.ubaya ni kuwa opportunity nying zishakuwa coverd na wagen waliovamia hyo nchi.
Ushaur.
Njoo nikushaur nch ya kwenda,na biashara yakufanya.
Zambia mpaka Windhoek ni sh.ngapi mkuugharama tanzania zambia ni panda gari Dar ukalale tunduma kwa 45000 hadi 50000tsh. na ukishagonga pass yako basi unavukia nakonde kutoka nakonde lusaka au kitwe ni kwacha kati ya 130 hadi 150 ni wastani wa shilingi 50000 za bongo zambia kuzuri.
Unaingiaje zambia unaweza kuingia kwa visa ya karatasi inayotolewa pale mpakani au lazma nifatilie kitabu kwanza then ndo nikagonge entry?
Wanajenga nyumba za kisasa huko? Nataka niende nikawachoree ramani nzuri za majengo na ikibidi niwajengee [emoji3][emoji120]Nkana East pamepangilika,Ukienda riverside napo hvyo hvyo mkuu
Wazambia Licha na umaskini wao lkn wana ustarabu sana.....Hata wa kuishi
Ila ile Style Yao ya mwanamke anakuja kukusalimiaaa kwa magoti Nlikuwa sipendi dah........
Ova
Nkana east na kitwe pako vzrWanajenga nyumba za kisasa huko? Nataka niende nikawachoree ramani nzuri za majengo na ikibidi niwajengee [emoji3][emoji120]
Shukran boss kwa nondo yako hii japo uzi niliuandika mda mrefu ila nmetimiza lengo langu mwaka huu nipo lusaka takriban mwez sasaChukua mzigo kidogo for research purpose, misha yako gharama kidogo ukilinganisha na Tanzania(chakula&accommodation).Umepewa ushauri wa kustamp visit trip make sure you do that,ukisema unaenda kibiashara utakutana na vikwazo na gharama ambozo si za lazima.Ni Watanzania wengi wanaofanya biadhara hiyo kwa kutembeza(vending) ambao hujulikana kama ego ego au kabaza lakini kama unataka kufungua duka dogo kuna sehemu kama COMESA kwa Lusaka na masoko ya Copper belt (Ndola&Kitwe) kuna Wabongo wengi mengine watakufungua mkikutana hukohuko kwenye kazi.Good spirit,nenda ukaangalie na kwa jicho la tatu unaweza kuona fursa zaidi ambazo wengine hawazioni.
Shukran boss now nipo hukuNdo mana ameuliza wanaoifahamu ni utafit huo
Mr Mimi mwaka Jana nilienda Zambia kupeleka viatu vya culture lkn nikakuta bei yao ni ndogo na nikaona haina maslahi..nikaamua kupitiliza hadi Namibia ndipo nikakuta soko lipo vizuri..
Lakini wakati naenda Namibia sikuwa na ndugu wala jamaa Ila nilikomaa kiubishi na MUNGU akanikutanisha na watu..