Chukua mzigo kidogo for research purpose, misha yako gharama kidogo ukilinganisha na Tanzania(chakula&accommodation).Umepewa ushauri wa kustamp visit trip make sure you do that,ukisema unaenda kibiashara utakutana na vikwazo na gharama ambozo si za lazima.Ni Watanzania wengi wanaofanya biadhara hiyo kwa kutembeza(vending) ambao hujulikana kama ego ego au kabaza lakini kama unataka kufungua duka dogo kuna sehemu kama COMESA kwa Lusaka na masoko ya Copper belt (Ndola&Kitwe) kuna Wabongo wengi mengine watakufungua mkikutana hukohuko kwenye kazi.Good spirit,nenda ukaangalie na kwa jicho la tatu unaweza kuona fursa zaidi ambazo wengine hawazioni.