magungila kivinzi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 232
- 148
Mkuu unataka kwenda mji gani huko zambia hilo nivizur ukapanga maana kuna miji mikubwa yakibishara kama kitwe, lusaka nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuanzia nataka nifikie lusaka baada ya hapo ntafanya utafiti zaidi sehem gan biashara yangu itatoka zaidiMkuu unataka kwenda mji gani huko zambia hilo nivizur ukapanga maana kuna miji mikubwa yakibishara kama kitwe, lusaka nk
Asante sna mkuu kwa taarifaChukua mzigo kidogo for research purpose, misha yako gharama kidogo ukilinganisha na Tanzania(chakula&accommodation).Umepewa ushauri wa kustamp visit trip make sure you do that,ukisema unaenda kibiashara utakutana na vikwazo na gharama ambozo si za lazima.Ni Watanzania wengi wanaofanya biadhara hiyo kwa kutembeza(vending) ambao hujulikana kama ego ego au kabaza lakini kama unataka kufungua duka dogo kuna sehemu kama COMESA kwa Lusaka na masoko ya Copper belt (Ndola&Kitwe) kuna Wabongo wengi mengine watakufungua mkikutana hukohuko kwenye kazi.Good spirit,nenda ukaangalie na kwa jicho la tatu unaweza kuona fursa zaidi ambazo wengine hawazioni.
Daah! Very interested mkuu asante kwa kunipa moyo,najua safari moja hufungua nyingineTazama hii kuna rafiki yangu mzambia amekuja kunitembelea tangu tarehe 27/Nov.Katika mizinguko yetu tukafika Segera (Tanga) tukastop kidogo kupata matunda,tukanununua machungwa.Mm nikamsogelea kijana mkata madafu anikatie dafu moja la nazi,nikaanza kunywa yale maji.Mzambia akaniuliza hii nini?Nikamweleza,akasema ooh haya maji tunauziwa kwenye chupa Zambia kwa bei mbaya na yanatoka Uingereza.Nina bahati kuyaona live yanakotoka.Akaniomba nimpige picha akiwa anakunywa dafu.Nikampiga kwa simu.Akatuma picha ile kwenye 'wasap' kwao Zambia.Watu wakaanza kumuuliza nini hicho unakunywa?Akawapa jibu.Mm nikabaki nashangaa kumbe kuna watu hawafahamu madafu.Anaondoka leo,amebeba dafu kwenye begi kwenda kuwaonyesha kwao.Wanaita Coconut water.Naona hiyo ni fursa mojawapo.
Ndo mana ameuliza wanaoifahamu ni utafit huoKwani unataka kuanza biashara bila ya hata utafiti mdogo? Sasa hizo product zako umejuaje kama zitauzika?
Yeah! Maana naona wengine hawaaomi maelezo hata kichwa cha habari wakisoma hawakizingatiiNdo mana ameuliza wanaoifahamu ni utafit huo
Mr Mimi mwaka Jana nilienda Zambia kupeleka viatu vya culture lkn nikakuta bei yao ni ndogo na nikaona haina maslahi..nikaamua kupitiliza hadi Namibia ndipo nikakuta soko lipo vizuri..Habari za mchana wakuu,naamini sote ni wazima wa afya na tunaendelea na majukumu ya kulijenga taifa,leo nimekuja kwenu kupata information zozote kuhusu fursa za watanzania kwenye nchi ya zambia kwangu nime plan kuanzia mwezi wa kwanza mwakani niwe napeleka bidhaa za culture hususan viatu vya kimasai ugumu ninaoupata sasa sijajua mazingira yake yakoje na wala nitafikia wap maana sina ndugu wala jamaa ninae mfahamu yupo kule msaada wenu tafadhali wowote wenye information
Bei yao ilikua kiasi gani na ww ulikua unauza kwa kiasi mkuu ili na mm kidogo nipate abcMr Mimi mwaka Jana nilienda Zambia kupeleka viatu vya culture lkn nikakuta bei yao ni ndogo na nikaona haina maslahi..nikaamua kupitiliza hadi Namibia ndipo nikakuta soko lipo vizuri..
Lakini wakati naenda Namibia sikuwa na ndugu wala jamaa Ila nilikomaa kiubishi na MUNGU akanikutanisha na watu..
Aisee mkuu, viatu vya wamasai utauza lakini inabidi ukifika umtafute mzambia akuuzie usionekane wewe ndo unauza. Wazambia hawaoni shida kutumia pesa nyingi kwa mambo ya starehe na urembo.Habari za mchana wakuu,naamini sote ni wazima wa afya na tunaendelea na majukumu ya kulijenga taifa,leo nimekuja kwenu kupata information zozote kuhusu fursa za watanzania kwenye nchi ya zambia kwangu nime plan kuanzia mwezi wa kwanza mwakani niwe napeleka bidhaa za culture hususan viatu vya kimasai ugumu ninaoupata sasa sijajua mazingira yake yakoje na wala nitafikia wap maana sina ndugu wala jamaa ninae mfahamu yupo kule msaada wenu tafadhali wowote wenye information
nicheki pm kuna mwl wangu yupo huko, anapiga ujasiria mali!!!Habari za mchana wakuu,naamini sote ni wazima wa afya na tunaendelea na majukumu ya kulijenga taifa,leo nimekuja kwenu kupata information zozote kuhusu fursa za watanzania kwenye nchi ya zambia kwangu nime plan kuanzia mwezi wa kwanza mwakani niwe napeleka bidhaa za culture hususan viatu vya kimasai ugumu ninaoupata sasa sijajua mazingira yake yakoje na wala nitafikia wap maana sina ndugu wala jamaa ninae mfahamu yupo kule msaada wenu tafadhali wowote wenye information
Nakuja ndugu yangunicheki pm kuna mwl wangu yupo huko, anapiga ujasiria mali!!!
Kwann mkuu isionekane mm nauza...lengo la mm kwenda kule ni ku expand soko langu baada ya hapo narud huku kisha ntakua naenda na mzigo ambao ntakua najua ntausambaza kwa wateja wapiAisee mkuu, viatu vya wamasai utauza lakini inabidi ukifika umtafute mzambia akuuzie usionekane wewe ndo unauza. Wazambia hawaoni shida kutumia pesa nyingi kwa mambo ya starehe na urembo.
Wana ubaguzi, wanaona wageni wanamaliza fursa zaoKwann mkuu isionekane mm nauza...lengo la mm kwenda kule ni ku expand soko langu baada ya hapo narud huku kisha ntakua naenda na mzigo ambao ntakua najua ntausambaza kwa wateja wapi
Dooh! AiseeeWana ubaguzi, wanaona wageni wanamaliza fursa zao
Ok mkuu nasubili jibu lakoNgoja nimuulize hapa dereva mwenzangu wa Lori yy anaendaga Zambia Mara kwa Mara anauzoefu wa kutosha na huko.
Ila me lengo langu nikifika kule niwatafute watu ambao nitakua nawauzia kwa bei ya jumla jumla mkuuWana ubaguzi, wanaona wageni wanamaliza fursa zao
Nishakuja mkuunicheki pm kuna mwl wangu yupo huko, anapiga ujasiria mali!!!