Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana mkuu...Zambia kwa masimulizi ya wengi pesa ipo tena ya kutosha sana na bidhaa ambayo inatoka kwa urahisi ni mchele hasa kwa miji ya Lusaka na Chililabombwe ile border ya Drc na zambia. Shida ni kwamba wale watu wana ukarimu wa kinafiki sana unaweza kuhisi upo nae kumbe anaenda kukuchomea kwa migration officers au hata police officers ilimradi tu uingie kwenye matatizo ... In short unaweza kupata pesa mingi sana ila zinaweza kupukutishwa ndani ya muda mfupi sana...Biashara nyingine ni ya Energy drinks ie Azam energy nazo zinapendwa sana....Ukienda uwe umejipanga kwa lolote
Gud mkuu nahisi utanitangulia kufika kuleNa mm nilipanga tangu mwaka huu July kuwa Januari nitafanya visiting Zambia kuangalia naweza kufanya biashar gan na wao.. Tafadhali mwenye idea ya biashara inayo toka tz na inapendwa sana huko atupe wazo tafadhali..
Asante sana mkuu pia nikupongeze kwa ukarimu wako,nimeshakuja tayar pm naamin ntapata mengi kutoka kwakoKaribu mkuu mimi nipo zambia comesa kibiashara ninauza viatu vya kimasai na baadhi ya bidhaa kibiashara ni pazuri sana gharama za kodi za nyumba ya kuishi na sehem ya biashara siyo kubwa sana inategemea na sehem unayotaka uishi au ufanyie biashara viatu vya kimasai vinapendwa sana na faida yake ni nzuri sana karibu zambia mkuu kwa ufafanuzi zaidi ni pm
Safi sana, natamani pia kuishi Zambia... Japo biashara sijui ni IPI...huko soko la comesa ndo mpango mzuri. Mimi ni mshauri miradi...Karibu mkuu mimi nipo zambia comesa kibiashara ninauza viatu vya kimasai na baadhi ya bidhaa kibiashara ni pazuri sana gharama za kodi za nyumba ya kuishi na sehem ya biashara siyo kubwa sana inategemea na sehem unayotaka uishi au ufanyie biashara viatu vya kimasai vinapendwa sana na faida yake ni nzuri sana karibu zambia mkuu kwa ufafanuzi zaidi ni pm
Habari mkuu nilikuja pm unipe details zaidi naona upo kimyaKaribu mkuu mimi nipo zambia comesa kibiashara ninauza viatu vya kimasai na baadhi ya bidhaa kibiashara ni pazuri sana gharama za kodi za nyumba ya kuishi na sehem ya biashara siyo kubwa sana inategemea na sehem unayotaka uishi au ufanyie biashara viatu vya kimasai vinapendwa sana na faida yake ni nzuri sana karibu zambia mkuu kwa ufafanuzi zaidi ni pm
Samahani mkuu,kwa mtaji wa milioni tano nawezapata fursa ya kuendesha maisha huko huku nkifanya vitu vya maendeleo home Tz...???Karibu mkuu mimi nipo zambia comesa kibiashara ninauza viatu vya kimasai na baadhi ya bidhaa kibiashara ni pazuri sana gharama za kodi za nyumba ya kuishi na sehem ya biashara siyo kubwa sana inategemea na sehem unayotaka uishi au ufanyie biashara viatu vya kimasai vinapendwa sana na faida yake ni nzuri sana karibu zambia mkuu kwa ufafanuzi zaidi ni pm
ITABIDI MKUU NIKUTAFUTE YAANI NAONA UNA MWANGA ZAIDI WA NCHI HIYOInategemea miji gani sema Wao wana English ways of living yaan kila mtu kivyake! Hawan ujamaa kama sisi! Hata askari Wao hawana shida Uwe strait tuu! Mimi nimeishi kapiri na nimepanga mtaani liver side nafanya biashara yangu bila usumbufu!
HII SAFI SANA YAANI FURSA PEKEE YA KUIFUATATazama hii kuna rafiki yangu mzambia amekuja kunitembelea tangu tarehe 27/Nov.Katika mizinguko yetu tukafika Segera (Tanga) tukastop kidogo kupata matunda,tukanununua machungwa.Mm nikamsogelea kijana mkata madafu anikatie dafu moja la nazi,nikaanza kunywa yale maji.Mzambia akaniuliza hii nini?Nikamweleza,akasema ooh haya maji tunauziwa kwenye chupa Zambia kwa bei mbaya na yanatoka Uingereza.Nina bahati kuyaona live yanakotoka.Akaniomba nimpige picha akiwa anakunywa dafu.Nikampiga kwa simu.Akatuma picha ile kwenye 'wasap' kwao Zambia.Watu wakaanza kumuuliza nini hicho unakunywa?Akawapa jibu.Mm nikabaki nashangaa kumbe kuna watu hawafahamu madafu.Anaondoka leo,amebeba dafu kwenye begi kwenda kuwaonyesha kwao.Wanaita Coconut water.Naona hiyo ni fursa mojawapo.
MPAKA SASA BADO UKO UKO ZAMIBIA AU UMESHARUDI TZKaribu mkuu mimi nipo zambia comesa kibiashara ninauza viatu vya kimasai na baadhi ya bidhaa kibiashara ni pazuri sana gharama za kodi za nyumba ya kuishi na sehem ya biashara siyo kubwa sana inategemea na sehem unayotaka uishi au ufanyie biashara viatu vya kimasai vinapendwa sana na faida yake ni nzuri sana karibu zambia mkuu kwa ufafanuzi zaidi ni pm
Pamoja lady, karibuITABIDI MKUU NIKUTAFUTE YAANI NAONA UNA MWANGA ZAIDI WA NCHI HIYO
Oy dungu vip mishe za urembo huko ZambiaHabari za mchana wakuu,naamini sote ni wazima wa afya na tunaendelea na majukumu ya kulijenga taifa,leo nimekuja kwenu kupata information zozote kuhusu fursa za watanzania kwenye nchi ya zambia kwangu nime plan kuanzia mwezi wa kwanza mwakani niwe napeleka bidhaa za culture hususan viatu vya kimasai ugumu ninaoupata sasa sijajua mazingira yake yakoje na wala nitafikia wap maana sina ndugu wala jamaa ninae mfahamu yupo kule msaada wenu tafadhali wowote wenye information
Mimi nimekaa kitwe Mji ule nimeupenda sana....nmekaa nkana East,nmekaa musenga....pia na chingola....Nlikuwa nafata skrepa enzi hizo.....Pamoja lady, karibu
Hasa pombe. Wale watu nimewavulia kofia aseeAisee mkuu, viatu vya wamasai utauza lakini inabidi ukifika umtafute mzambia akuuzie usionekane wewe ndo unauza. Wazambia hawaoni shida kutumia pesa nyingi kwa mambo ya starehe na urembo.