Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh hapo kuna ishu za watu kuchoka kuiangalia/kuikinai....au watu wengine wamerushiwa kwenye simu zao kwa hiyo hawaoni haja ya kwenda Youtube
Hahahaha kuna bombu nyuma ya hili swali lako mkuu
Duuuuuh
Hii ni rahis xn.. tumia 4figa uone
poa mkuuasante kwa mchango wako
Jibu zuriMmmh hapo kuna ishu za watu kuchoka kuiangalia/kuikinai....au watu wengine wamerushiwa kwenye simu zao kwa hiyo hawaoni haja ya kwenda Youtube
Au ile ya magazijuto kwa kizungu wanaita BODIMASHii ni rahis xn.. tumia 4figa uone
Mimi nilikuwa najua sana hesabu ila kuna kipindi nikaja kuumwa nikazitapika hesabu zote mpaka sasa hivi ni mbumbumbu wa hesabu najua kuhesabu hela tu.
Baba ake wa Kufikia Ommy Dimpoz aliwahi kusema kuwa mwanae wa kufikia Ana Janja Janja sana na pia ni hodari wa kununua viewers
Wanaojua hesabu mtusaidie uwiano uliopo hapo, mbona kama idadi ya viewers zilikimbia spidi ya ndege masaa machache ya mwanzo na baadae zikaanza kwenda mwendo Wa Kinyonga?
Vipi kwa wanaojua hesabu, vipi mamba piko vizuri hapo?
karibuni