Kwa wanaojuwa hesabu tu: Uwiano wa Masaa 15 viewers Mil.1 na Masaa 120 viewers mil.2s

Kwa wanaojuwa hesabu tu: Uwiano wa Masaa 15 viewers Mil.1 na Masaa 120 viewers mil.2s

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Wanaojua hesabu mtusaidie uwiano uliopo hapo, mbona kama idadi ya viewers zilikimbia spidi ya ndege masaa machache ya mwanzo na baadae zikaanza kwenda mwendo Wa Kinyonga?

Vipi kwa wanaojua hesabu, vipi mamba piko vizuri hapo?

karibuni
 
Mimi nilikuwa najua sana hesabu ila kuna kipindi nikaja kuumwa nikazitapika hesabu zote mpaka sasa hivi ni mbumbumbu wa hesabu najua kuhesabu hela tu.
 
Baba ake wa Kufikia Ommy Dimpoz aliwahi kusema kuwa mwanae wa kufikia Ana Janja Janja sana na pia ni hodari wa kununua viewers
 
IMG_8953.PNG

Back
Top Bottom