Sasa hilo nalo ni la kuhoji?! Ina maana hufahamu ngomainavyokuwa released majority wanakuwa online kuiangalia!
Btw, saa 120 si siku tano hizo?! Ina maana hizo views 2M zimefika jana?
Kama jambo dogo kama hilo unashindwa kulifahamu basi pole sana na ndo maana haishangazi kuwaona mnapiga porojo za kununua Views!!!!teh teh teh! hoja nyepesi sana hii
Masaa 120 ni sawa na siku 5
Ok ndani ya saa 15 viewers walikuwa m1
Ndani ya siku mbili walikuwa m 2 yaan milion 2
Sasa ßijajua hiyo yako ya siku tano m2 au ushajumlisha ile kwahiyo tufanye siku mbili za m2 na siku 5 za m2 ambapo atakuwa na viewers m4 ni nzuri pia siku 6 viewed m4 safi
kama mimi niliipata watsap cku hyo hyo kwahyo sikuona haja ya kuingia youtube ....kumbuka hii video ilipotoka tu watu wakaanza kurusha sana kwa magroup ya watsap
Unaweza kutupa screenshot za Seduce Me na Zilipendwa pia tuone nani anaongoza?Kwa hiyo zilipendwa haikurushwa watsap, mbona hadi Leo zaidi ya mwezi sasa mnasema inazidi kuongeza viewers kwa kasi? au ndio ileile ya kununua imekolea
mwisho wa cku pambana na hali yako huyo unaetaka kumjadir sana utaumiza kichwa huo muda wa kufikiria ilikuwaje viwers wakawa hv na vile ukimaliza utakua unajipotezea muda wa kutafuta kipato chako wakat huyo diamond alishatoa nyimbo yupo bize kufanya juhud ya kutoa nyingne huku ukiendelea kubisha anatoa nyingine ukianza kuijadili pia anatoa nyingne maisha yake yanaenda account yake yazid kujaa wkt ww uko bze kumjadiliKwa hiyo zilipendwa haikurushwa watsap, mbona hadi Leo zaidi ya mwezi sasa mnasema inazidi kuongeza viewers kwa kasi? au ndio ileile ya kununua imekolea
Seduce me iko juu kiuhalisia
Siku ya sita ni hii:cha kushangaza Leo siku ya sita bado wapo mikioni mbili na kidogo, hapo ndipo penye ukakasi
Usisahau pia kuna watu "Wananunua Viewers"Wanaojua hesabu mtusaidie uwiano uliopo hapo, mbona kama idadi ya viewers zilikimbia spidi ya ndege masaa machache ya mwanzo na baadae zikaanza kwenda mwendo Wa Kinyonga?
Vipi kwa wanaojua hesabu, vipi mamba piko vizuri hapo?
karibuni
Siku ya sita ni hii:
View attachment 601746
Numbers never lie! Kwahiyo ungekuwa unafanya hesabu za makadirio, hiyo 2,952,508 ungeikadiria sawa na 2 Million sio?!