Kwa wanaojuwa hesabu tu: Uwiano wa Masaa 15 viewers Mil.1 na Masaa 120 viewers mil.2s

Kwa wanaojuwa hesabu tu: Uwiano wa Masaa 15 viewers Mil.1 na Masaa 120 viewers mil.2s

Sasa hilo nalo ni la kuhoji?! Ina maana hufahamu ngomainavyokuwa released majority wanakuwa online kuiangalia!

Btw, saa 120 si siku tano hizo?! Ina maana hizo views 2M zimefika jana?
 
Sasa hilo nalo ni la kuhoji?! Ina maana hufahamu ngomainavyokuwa released majority wanakuwa online kuiangalia!

Btw, saa 120 si siku tano hizo?! Ina maana hizo views 2M zimefika jana?

teh teh teh! hoja nyepesi sana hii
 
teh teh teh! hoja nyepesi sana hii
Kama jambo dogo kama hilo unashindwa kulifahamu basi pole sana na ndo maana haishangazi kuwaona mnapiga porojo za kununua Views!!!!

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini Seduce Me mwanzoni ilikuwa inafikisha hadi 500K per day wakati hivi sasa kwa siku hawafiki hata 50K?
 
Mtoa post pambana na hali yako
 
Masaa 120 ni sawa na siku 5

Ok ndani ya saa 15 viewers walikuwa m1

Ndani ya siku mbili walikuwa m 2 yaan milion 2

Sasa ßijajua hiyo yako ya siku tano m2 au ushajumlisha ile kwahiyo tufanye siku mbili za m2 na siku 5 za m2 ambapo atakuwa na viewers m4 ni nzuri pia siku 6 viewed m4 safi
 
392bb1c5f6b6ddadf409a9d0547d8db4.jpg
 
KWANZA SWALI LAKO SIJAELEWA WEWE UNATAKA NINI?

Pili Issue Views Imezungukwa na Vitu vingi sana! Ndio maana Kila wimbo ukitoka Kama Hutopa Views wengi sanaaaa Siku 2 au 3 baada ya kuutoa Usitegemee kufanya Maajabu ya kupata views wengi mbeleni! kwasababu watazamaji wanakawaida ya kufuta Upepo! Sasa Wewe wimbo sahizi upo kwenye kila kituo cha Radio na Runinga Ndani na nje ya nchi ukifungua Tuu TV unakutana na Hallelujah! Unategemea nani atatumia MB 70 kwenda kuangali Youtube! ndio maana Msanii mkubwaaa yeyote yule Duniani Akitaka Kuvuna Views Atavuna Siku 2/3 baada ya kuutoa wimbo

Mifano ipo mingi! Angalia Alikiba Alipotoa Aje na Aje Remix baada ya kushindwa kujipatia views wengi siku 3 za mwanzo nini kimetokea hadi sahizi hizo nyimbo zina views wangapi? Angalia Seduce me baada ya kupta Views wengi ndani ya masaa 24 huo wimbo hadi sahizi una Views wangapi!

Sasa Kama wewe unataka Hesabu sa uwiano huwezi kuzitua hapoo labda uchole graph na ALWAYS Graph lazima Itakuwa inashuka siku baada ya siku kwa msanii yeyoteee Yule Duniani??? HUJIULIZI KWANINI SEDUCE ME ILIANZA NA VIEWS WENGIII IKAJA KUPITWA NA ZILIPENDWA HUJIULIZI KWANINI????? Ndio maana huwezi kukuta msanii yeyote Duniani anajisifu views baada ya wiki moja au miaka kadhaa!

Nimetumia MFANO WA ALIKIBA kwasababu baada ya kusoma Reply zako kwa wadau wanaochangia na post nikajua kabisa wewe ni MSHABIKI WA ALIKIBA na unajitahidi kupambana Kuisemea vibaya Hallejah kwa kujifanya unataka ku calculate ratio! Hakuna kitu kama hicho huwezi kwasababu UKWELI ni kwamba Number ya Views Hupungua kadri ya siku zinavyo zidi kwendaa! NI kama Ukila Chakula!
 
Masaa 120 ni sawa na siku 5

Ok ndani ya saa 15 viewers walikuwa m1

Ndani ya siku mbili walikuwa m 2 yaan milion 2

Sasa ßijajua hiyo yako ya siku tano m2 au ushajumlisha ile kwahiyo tufanye siku mbili za m2 na siku 5 za m2 ambapo atakuwa na viewers m4 ni nzuri pia siku 6 viewed m4 safi

cha kushangaza Leo siku ya sita bado wapo mikioni mbili na kidogo, hapo ndipo penye ukakasi
 
kama mimi niliipata watsap cku hyo hyo kwahyo sikuona haja ya kuingia youtube ....kumbuka hii video ilipotoka tu watu wakaanza kurusha sana kwa magroup ya watsap
 
kama mimi niliipata watsap cku hyo hyo kwahyo sikuona haja ya kuingia youtube ....kumbuka hii video ilipotoka tu watu wakaanza kurusha sana kwa magroup ya watsap

Kwa hiyo zilipendwa haikurushwa watsap, mbona hadi Leo zaidi ya mwezi sasa mnasema inazidi kuongeza viewers kwa kasi? au ndio ileile ya kununua imekolea
 
Kwa hiyo zilipendwa haikurushwa watsap, mbona hadi Leo zaidi ya mwezi sasa mnasema inazidi kuongeza viewers kwa kasi? au ndio ileile ya kununua imekolea
Unaweza kutupa screenshot za Seduce Me na Zilipendwa pia tuone nani anaongoza?
 
Kwa hiyo zilipendwa haikurushwa watsap, mbona hadi Leo zaidi ya mwezi sasa mnasema inazidi kuongeza viewers kwa kasi? au ndio ileile ya kununua imekolea
mwisho wa cku pambana na hali yako huyo unaetaka kumjadir sana utaumiza kichwa huo muda wa kufikiria ilikuwaje viwers wakawa hv na vile ukimaliza utakua unajipotezea muda wa kutafuta kipato chako wakat huyo diamond alishatoa nyimbo yupo bize kufanya juhud ya kutoa nyingne huku ukiendelea kubisha anatoa nyingine ukianza kuijadili pia anatoa nyingne maisha yake yanaenda account yake yazid kujaa wkt ww uko bze kumjadili
 
cha kushangaza Leo siku ya sita bado wapo mikioni mbili na kidogo, hapo ndipo penye ukakasi
Siku ya sita ni hii:

Views.png

Numbers never lie! Kwahiyo ungekuwa unafanya hesabu za makadirio, hiyo 2,952,508 ungeikadiria sawa na 2 Million sio?!
 
Wanaojua hesabu mtusaidie uwiano uliopo hapo, mbona kama idadi ya viewers zilikimbia spidi ya ndege masaa machache ya mwanzo na baadae zikaanza kwenda mwendo Wa Kinyonga?

Vipi kwa wanaojua hesabu, vipi mamba piko vizuri hapo?

karibuni
Usisahau pia kuna watu "Wananunua Viewers"
 
Siku ya sita ni hii:

View attachment 601746
Numbers never lie! Kwahiyo ungekuwa unafanya hesabu za makadirio, hiyo 2,952,508 ungeikadiria sawa na 2 Million sio?!

Hivi unajuwa maana ya Mil. 2s au ndio walewale vilaza? unadhani ile s imesimama badala ya nini, kama siyo kuwakilisha hiyo nyongeza
 
Back
Top Bottom