Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...
 
Ngoja niwahi [emoji575] seat [emoji575], lazima niwe font page leo.... Sasa tunamaliza mwaka ulipotea kidogo hapo kati lakini hebu nijuze kwa utulivu kabisa kwanini kipindi cha JK ulinichukia kiasi kile[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Wanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
Niko hapa nnaye bisha, kwa vigezo vifwatavyo...

Kuna jamaa hapa kitaa kila siku analia, anasema ana mapenzi ya dhati kwa demu wake, anamjali, anamsikiliza lakin bado demu hamuelewi...

Anampa mpaka pesa na kitandan anasema anamridhisha lakin bado demu haelewi lugha!!

Kwa hiyo nakataa na kuipinga hoja yako.
 
Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...
Mimi nabisha kuwa wewe sio mwanamke ni mwanaume.
Sio kwa sababu wewe si mwanamke, ila ni kwa sababu ya ubishi tu.

Karibu tubishane.
 
Niko hapa nnaye bisha, kwa vigezo vifwatavyo...

Kuna jamaa hapa kitaa kila siku analia, anasema ana mapenzi ya dhati kwa demu wake, anamjali, anamsikiliza lakin bado demu hamuelewi...

Anampa mpaka pesa na kitandan anasema anamridhisha lakin bado demu haelewi lugha!!

Kwa hiyo nakataa na kuipinga hoja yako.
Huyo demu atakuwa ana tatizo mahali trust me, sio mtu wa kawaida
 
Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...
Siasa zimekushinda bibi faiza?
 
Back
Top Bottom