Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Acha ulongo. Mwambie ajilipue hapa hapa kwenye uzi kama kweliMleta mada ni agent wa magaidi ya CCM na alikuwa mafunzoni na kikundi cha Islamic State huko Uarabuni.
Kuna wabishi watabisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ulongo. Mwambie ajilipue hapa hapa kwenye uzi kama kweliMleta mada ni agent wa magaidi ya CCM na alikuwa mafunzoni na kikundi cha Islamic State huko Uarabuni.
Kuna wabishi watabisha.
Mimi nabisha watu muache ubishi, bila hivyo nitabisha mpaka mkome kubishaUzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.
Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.
Mada yoyote ruksa.
Karibuni...
Nasubiria...Ngoja niwahi [emoji575] seat [emoji575], lazima niwe font page leo.... Sasa tunamaliza mwaka ulipotea kidogo hapo kati lakini hebu nijuze kwa utulivu kabisa kwanini kipindi cha JK ulinichukia kiasi kile[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Mimi nabisha , hana tatizo. Sema yupo real
Kati ya Magufuli na Majaliwa , nani kiongozi mzuri na kwanini ?Leta siasa tubishane.
Usiandikie mate na wino upo.
Nabisha sio Mimi niliye comment hapa unaposoma
😀😀😀😀😀😀😀😀....siBISHINumbisa ni member mpole kuliko wote JF.
Hanaga ugomvi na mtu.
nAona sihasa zimekushinda satha wathoma namba..ole wako unisahihishe kiswahili...ADA HUJANILIPIA AF UNIPANGE CHA KUANDIKA😎😎😎Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.
Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.
Mada yoyote ruksa.
Karibuni...
Siyo Fafanuwa,ni fafanua!Upole ndiyo nini? Fafanuwa.
Mi nakupingarushwa ni tamu kuliko mshahara,
anayebisha apige nyeto.
Nabisha hana matatizo. kama unabisha weka acc no hapa nikutumie pesa ya kumpeleka kwa mtaalamuNabisha, ana matatizo makubwa alete hela nimpeleke kwa mtaalamu
Hata mimi nabisha,Hapa nilipo nina matairi manne,kama hauamini angalia barabarani utaniona.Hapo ubishi wa nini sasa? Mimi nnauhakika wewe siyo "Maserati".
Maserati ni aina ya gari.
wewe utakua mbunifu tu, haiwezekani uanzishe uzi huu hivihivi...Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.
Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.
Mada yoyote ruksa.
Karibuni...
Nabisha wewe ni dada anguNabisha kwamba wewe ni mdogo wangu, nabisha kabisaa