geek jo
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 1,134
- 1,144
4r46fxŕUzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.
Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.
Mada yoyote ruksa.
Karibuni...