Sonia G
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 3,071
- 3,909
Huu uzi umetembea kwa speed ya light, bibi faiza umeuwanga mkono kwa asilimia 100
Wengine tumeunga miguu mikono inakazi nyingi [emoji276]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi umetembea kwa speed ya light, bibi faiza umeuwanga mkono kwa asilimia 100
Hahaha hahahaUdisenti wa mtu
Hata mie siaminiSiamini.....
Na wewe kwani unabisha mama?Hii ngumu kumeza.
🤣🤣🤣mimi nasema mkulu JIWE kashushwa na mungu aje aliongoze taifa kwenye safari ya nchi ya ahadi [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan nina adabu mpaka najishtukia ankoo,ukitaka kuogolea kwenye swimming puli nakuwekea na maji ya moto View attachment 973725
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Miguu tahadhari usije ukaacha private sector waziWengine tumeunga miguu mikono inakazi nyingi [emoji276]
Huyo tena asibishe...!!!!Na wewe kwani unabisha mama?
Uzi ni wa ubishi Una haki ya kubishamh! nabisha...
Kilichokuchekesha nini? Au ubishi ndo umekuchekesha?Hahaha hahaha
Mejikuta nacheka tuu jamani
Nabisha, hana hiyo haki.. aitoe wapi?Uzi ni wa ubishi Una haki ya kubisha
Kwa Saba u ni ubishi tuNabisha, hana hiyo haki.. aitoe wapi?
...Sifuatilii Ubishi wala si enjoy[emoji41] [emoji41]Kwa wale tunaopenda kufatilia ubishi naomba tuendelee ku-enjoy
HahaaMimi napinga, kwanini umeleta huu uzi?
Naunga mkono hojaNiko hapa nnaye bisha, kwa vigezo vifwatavyo...
Kuna jamaa hapa kitaa kila siku analia, anasema ana mapenzi ya dhati kwa demu wake, anamjali, anamsikiliza lakin bado demu hamuelewi...
Anampa mpaka pesa na kitandan anasema anamridhisha lakin bado demu haelewi lugha!!
Kwa hiyo nakataa na kuipinga hoja yako.
Itakuwa unataniaNumbisa ni member mpole kuliko wote JF.
Hanaga ugomvi na mtu.
....Nabisha dunia ni Duara kwa fact zifuatazo