Nilipo mimi leo ni alhamisNani anabisha Ijumaa ya leo ipo so sex yani week inaisha vizuri sana kuelekea X mass akili, mwili mikono havitaki kufanya kazi nzito leo, najiaanda kula bata baadae maisha mafupi ukipata nafasi jiburudishe
Nimecheka ulitakaje sakayoUmenizomea au
Simu yangu umeshika weweUnakimbilia wapi
Andika vizuri hebu
Faiza foxxy ni muongo sana na vi historia uchwara vyake. Kwenye siasa ndio mweupe kabisaaaaaHuyo faiza ni gwiji tasinia ya siasa, anzisha hoja tupambane nae
Huyo ni Lisa Valentine, mwanamke jasiri aliyehiyari kufungwa jela kuliko kuvua hijab yake.Anza wewe
Amfikishe wapi huko anakotakiwa kufikaHuyo atakuwa hamfikishi huyo dem wake
Haya endelea kuaanda shambaKuandaa shamba sio lazima kulima, hata kufyeka pia
Ambaye hatakai aache..!Christmas ni sherehe ya dunia nzima.
Mtoto wa 2000, story za chibu unazijulia wapi ?Wengi hawapendi ukweli. Wabishi sana ndiyo maana nimewafungulia huu uzi wa kubishana.
Wacha waje tubishane nao kuhusu Chibu.
Mtumbo huu huu ninaoujua mimi au kuna mwingine?Nabisha
Niko huku namtumbo naandaa mashamba
Nabisha mbona avatar yako ni wewe kabisaHuyo ni Lisa Valentine, mwanamke jasiri aliyehiyari kufungwa jela kuliko kuvua hijab yake.
Soma zaidi: Georgia judge jails Muslim woman for wearing headscarf to court
atakwambia jina uumba!!Mimi nabisa wewe sio bilionea, kama mi mwongo thibitisha ubilionea wako
Mchumba wangu huyo muache tu usimpe majukumu mazitoFaiza foxxy ni muongo sana na vi historia uchwara vyake. Kwenye siasa ndio mweupe kabisaaaaa
Upo wapi mkuuNilipo mimi leo ni alhamis
Kuna ndezi atabisha
Huko kwenye shule za kiarabu ndiko ulikopotezwa. Kama unabisha semaYote yako sahihi inategemea na shule na Mwalim.
Mimi nilianza kufundishwa kuandika Kiswahili kwa herufi za Kiarabu.