Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...

Halafu wee sijui nikuite jina gani?
 
Yuko chalii, miguu juu kifo cha mende [emoji14] hawezi tena siasa. Eti uzi wa kubishana... huyu kizee kaishiwa sera jamani mweeh! Alijifanyaga msiasa na mdini sasa kawa kizee cha kijiweni kubishana bila sababu. Nani anabisha????
Muache ale mafao ya uzeeni huku vidole vyake vinaongea. Hajaguswa na vikokotoo vipya
 
Nakurekebisha sio karamu ni kalamu .

Eh iyo kalamu umekulaje?
Kalamu na Karamu ni maneno tofauti na yenye maana tofauti
IMG_20181221_110848.jpeg
 
Wanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
hakuna kitu kama hiyo katika hii dunia,wanawake wanapenda pesa kuliko kupetiwa petiwaa
 
Back
Top Bottom