Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Thibitisha beyond reasonable doubtMke wa obama ni kidume anaebisha aseme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha beyond reasonable doubtMke wa obama ni kidume anaebisha aseme
Siyo waliozoea kama mm nimemfikisha huko mliman kwa nn yeye asinifikishe?....ila hata hamna tabu wenzie watamsaidia kumpeleka huko mlimanSiku hizi kuna cost sharing. Waliozoe kufikishwa watapata sana
Its ur homeworkThibitisha beyond reasonable doubt
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] salamu zao huko Umalila/UtenguleMim nabisha mpak kesho kwan waliotoa tafsiri ni binadam kam sisi
Tunaweza tukakubariana kutoka leo kwamba simu tuiite mamba na mamba aitwe simu na maisha yakaendlea kam kawaida
Hahaha kwa hyo umezaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu ukiendelea kidogo unaweza kujiona yesu wewe
Napinga vikali sana kwa miaka kama miwili nilikuwa sina pesa lkn namfanyia mke kazi zote za ndani lkn alikuwa anaumwa kichwa kila dakika hadi siku nikiyopata pesa nikaona hata kazi anafanya sasa. Mwanamke pesa kwanzaWanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
Ni Toxic kasema nachat, kwani hukuonaAliyekuambia unachat nani ?
Na mm nabisha wewe siyo mtoto wa baba yangu baba yako anaitwa chakupewa namfaham tunatoka mtaa mmojaNakubishia napajua hadi kwenu maeneo ya Tandale kwa tumbo na wewe ni mtoto wa mwisho wa mzee Msingisi
Upole ndiyo nini? Fafanuwa.
Hahaha wewe hata hilo neno ubishi tu halikutoshi sijui nikuiteje sasa ila nakubishia Yesu hakuwahi kuwa mwanadamu bali alijifanya binadamuMimi sitaki kujiona yesu maana mm n roho lakini yesu alikuwa mwanadam hahahahahahahah
Pole sana maana ulijifunza kuwa mwanamke hapendi ujinga ujinga kabisa siku nyingine usikae bila kazi tena hahahahahahahahahaNapinga vikali sana kwa miaka kama miwili nilikuwa sina pesa lkn namfanyia mke kazi zote za ndani lkn alikuwa anaumwa kichwa kila dakika hadi siku nikiyopata pesa nikaona hata kazi anafanya sasa. Mwanamke pesa kwanza
Wewe mbishi kuliko ubishi wenyewe [emoji23]Hapana nakataa mimi sio mbishi!
We ulijua nataka nini toxicNimecheka ulitakaje sakayo
Nani kasema hawahitaji mihela!Wanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
Kumbe hiyo ni simuSimu yangu umeshika wewe
Nakubishia mimi sikai maeneo ya kwenu Tandale kwa tumbo naishi masaki mimi hahahNa mm nabisha wewe siyo mtoto wa baba yangu baba yako anaitwa chakupewa namfaham tunatoka mtaa mmoja
Umejua ni shamba lipiHaya endelea kuaanda shamba
Pole sana maana ulijifunza kuwa mwanamke hapendi ujinga ujinga kabisa siku nyingine usikae bila kazi tena hahahahahahahahaha
Hebu onyesha huo unaoujuaMtumbo huu huu ninaoujua mimi au kuna mwingine?