Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Nakubishia mimi sikai maeneo ya kwenu Tandale kwa tumbo naishi masaki mimi hahah
Nakubishia maana sitaki kujua unaishi wapi sisi kwetu mbinguni wewe utashangaa na huko masaki kwenu na huyo baba yako chakupewa
 
Napinga vikali sana kwa miaka kama miwili nilikuwa sina pesa lkn namfanyia mke kazi zote za ndani lkn alikuwa anaumwa kichwa kila dakika hadi siku nikiyopata pesa nikaona hata kazi anafanya sasa. Mwanamke pesa kwanza
Nabisha, kwanza wewe hujawahi hata kuoa
 
Kabisa yaani wale wote wanaodhani au kufikiri Mwanamke atakuthamini eti mapenzi ya kweli hahahaha labda awe na mkwanja wake binafsi lkn otherwise baba tafuta mkwanja tena mrefu kila kitu utapata
Utapata kwa performance yako tu. Performance ikiwa mbovu hata ukilipia hupati.
 
Kabisa yaani wale wote wanaodhani au kufikiri Mwanamke atakuthamini eti mapenzi ya kweli hahahaha labda awe na mkwanja wake binafsi lkn otherwise baba tafuta mkwanja tena mrefu kila kitu utapata
Hata akiwa na mkwanja wake mwenyewe na hata uwe mrefu kiasi gani bado ile principle ya kazi ya mwanaume n kutafuta kwa jasho na kumtunza mwanamke n kazi ya mwanaume itaaply mzee baba hahahaahhahahahah
 
Siyo waliozoea kama mm nimemfikisha huko mliman kwa nn yeye asinifikishe?....ila hata hamna tabu wenzie watamsaidia kumpeleka huko mliman
Wanaume kufika Kwenye peak rahis. Nyie mna stress nyingi ndio maana inakuwa mtihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…