Hahaha hahahaAkija mwambie apunguze stress
Kwani hulijuiHilo ni shamba gani umebeba wembe
Nabisha we huna hata mtoto
We nani mi nabishaMimi nabishana kabisa na wewe.
Lakini hakuna kitu kinaitwa Kiswahili hapa duniani.
Kama kipo thibitisha.
Wa kulimia shamba lipiWa kulima
Tayari nishavua, kingineVua miwani
Nimemtaja sakayo ana stress sanaHahaha hahaha
Huyo ulomtaja ni nani
Mashamba mengine sio lazima uende wewe kulifyeka unatakiwa upewe msaadaKwani hulijui
Kwani sina mikonoMashamba mengine sio lazima uende wewe kulifyeka unatakiwa upewe msaada
Ziko wapiNimemtaja sakayo ana stress sana
Nakukuna kikunwacho nikitumia kikunachoKukuna nini sasa
HongeraKwani sina mikono
Uzi ni wakubishana tu hata mimi sizioniZiko wapi
Umevua niniTayari nishavua, kingine
HiloWa kulimia shamba lipi
Hicho ni kiswahili cha wapiNakukuna kikunwacho nikitumia kikunacho
Kwa nini huzioniUzi ni wakubishana tu hata mimi sizioni
SitakiHongera