Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 519
We pumbavu kweli!!!!Mie nakubali kabisaaa
Ogopa watu wataratibu. Wanasema, baadhi ya wana saikolojia, wauaji wote ni wataratibu.
Mi sijawahi kufanya mapenzi
Na una adabu kuliko mabinti wa kisukuma wooteee[emoji3][emoji3][emoji3] Godi bulesi yuu Anko [emoji120][emoji120]View attachment 973659
MiwaniUmevua nini
Tulia hivyo hivyoSitaki
Wengi hawapendi ukweli. Wabishi sana ndiyo maana nimewafungulia huu uzi wa kubishana.
Wacha waje tubishane nao kuhusu Chibu.
Hayo wewe usijali, wewe bisha tu kwa unachokisimamia.Nakuelewa vizuri tu. Humu JF kuna kakikundi kanapenda kuabudiwa sana hasa wakimpenda mtu au chama wanataka wote wawe upande wao,ukiandika tofauti nao utaporomoshewa mvua za mapovu ya kutosha
Hapa nilipo nimekufa
Hata mm mzimu nimekufaNabisha mzimu wako bado upo hai
Sina avatar mimi we bibiHata avatar yako inasadikisha hivyo.
hivi numbisahNabisha mzimu wako bado upo hai
Sina avatar mimi we bibi
.unikome
hivi numbisah
Unaweza ukawa dada yangu