Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Huyu bibi bwana[emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nabisha unataka kuninyima nini?
Yes i got itKwani una manido hata nikukome?
Hapana wap nimesema hivyoNa hii nimeanzisha mimi usisahau.
Nioneshe thread yangu hata moja ya CCM.
Wewe inaonesha hata maana ya thread huelewi.
[emoji27][emoji27]Inafaa uwahi Ulaya. Yanalipa.
Hapana sio kweli hitaji lao la pesa bado lipo pale paleWanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
Hapana sio mizimuKazi tunayo.
Sasa tutabishana na mizimu.
Mungu yupoWayahudi ni taifa teule la Mungu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Miwani
Tulia hivyo hivyo
Ulitaka nivue nini dogoKwani ulikuwa umevaa miwani
Mimi nabisha aseee. Tena napinga kabisaaWanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa