Nabisha sio weweNimesema mimi, unabisha kwani?
Siku nyingine wala usiniambie tenaSiku nyingine
Nitashangaa kama utathibitisha,unachotakiwa kufanya ni kubisha mpaka ueleweke.Nabisha kabisa kuwa naweza kuthibitisha kuwa mimi ni Bilionea.
Mtalaka wangu huyo [emoji23]Nimekupata mzee baba. Ngoja nijiandae kwenda masjid na bibi faiza
JfLeo umeniona wapi we mtu
Ujue wewe nitakutukana eeeh...
We kama ni mbovu ni mbovu tu usitafute uchochoro. Au unabisha?Maelewano tu mkuu kwani mbaya si sura au vyote ni mbaya
Mshana mzee baba ngoja nikuulize kitu, hivi zile alama wanga wanazipiga kwenye miili yetu huwa mnazitumia kwa kazi ganiNabisha sio wewe
HayaSiku nyingine wala usiniambie tena
Umeaanza ehhUjue wewe nitakutukana eeeh...
Ndio maana handsome
MwenyeweHaya
NimemaliziaUmeaanza ehh
Nimemuuliza mshana swali hebu mkumbushe atujibuMwenyewe
Naunga mkono point yako, hata wewe mchangiaji ni mduwanziHuu uzi ni wa kidwanzi..
Za kukuunganisha wewe na mizimuMshana mzee baba ngoja nikuulize kitu, hivi zile alama wanga wazipiga kwenye miili yetu huwa mnazitumia kwa kazi gani
Wewe hujui kutag auNataka umtag
Huu uzi nakupa ushindi dogo mbishi sana weweNimemalizia