Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
@Mshana JrMshana mzee baba ngoja nikuulize kitu, hivi zile alama wanga wazipiga kwenye miili yetu huwa mnazitumia kwa kazi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Mshana JrMshana mzee baba ngoja nikuulize kitu, hivi zile alama wanga wazipiga kwenye miili yetu huwa mnazitumia kwa kazi gani
Wewe wa kikeWewe hujui kutag au
Wapi nimebisha mimiHuu uzi nakupa ushindi dogo mbishi sana wewe
Wapi nimesema wa kiumeWewe wa kike
Wamenipiga chata kama tattooZa kukuunganisha wewe na mizimu
Hahaha hahaha hahahaWamenipiga chata kama tattoo
mh! nabisha...Kwa sababu ni Mimi mwenyewe
Mimi ndiyo wamenipiga chata eti ysni kitu kama nimepigwa tattoo ngoja mshana aje, mHahaha hahaha hahaha
Umeanza lini kuloga
Unabisha amaWapi nimesema wa kiume
Na uzee wote huo bado unaenda kwa wagangaMimi ndiyo wamenipiga chata eti ysni kitu kama nimepigwa tattoo ngoja mshana aje, m
Nabisha saaaanaUnabisha ama
Dada nataka nikutafutie mchumba![emoji6][emoji6][emoji6]Nabisha saaaana
Mie mwenyewe mchumbaDada nataka nikutafutie mchumba![emoji6][emoji6][emoji6]
Wachaa basi umeelewa ama hujaelewa, kwani mshana ni mganga? Mshana mwenye taaluma yake na mambo ya gizaNa uzee wote huo bado unaenda kwa waganga
Mtafutie tu itakua umemsaidia kutuliaDada nataka nikutafutie mchumba![emoji6][emoji6][emoji6]
Hizo tatoo za elimu ya anga eeehhWachaa basi umeelewa ama hujaelewa, kwani mshana ni mganga? Ama mwente taaluma yake na mambo ya giza
Kwani sijatuliaMtafutie tu itakua umemsaidia kutulia
Kwani hajatulia mkuu?[emoji15][emoji15][emoji15]Mtafutie tu itakua umemsaidia kutulia
[emoji123][emoji123][emoji123]Mie mwenyewe mchumba