Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Siendi na weweDharau hizo,Nakuja kumchukua dada angu![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siendi na weweDharau hizo,Nakuja kumchukua dada angu![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
.Siendi na wewe
Labda wa Kingerikiti huko Mbinga... Lakini wa vijiji vya Moshi wote hela mbele...Wanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
NakuchekaUnanizomea auu
Kaka yako anakuja kukuchukua ujiandaeSiendi mahali
🤣🤣🤣🤣Umeshinda kichwa kama jiweWe kama ni mbovu ni mbovu tu usitafute uchochoro. Au unabisha?
We ni mbovu tu.
Kucheka gani hukoNakucheka
Hivi kwani kasema inasheherekewa dunia nzima, au ya dunia nzima? Ubishe mwingine wa KIGOMA AISEEMimi nakataa, sio sikukuu ya dunia nzima. Ivi syria, uarabuni wanasherekea hii sikukuu?
Unataka uende wapi kama sio kwa kaka yakoSiendi mahali
Sina kakaKaka yako anakuja kukuchukua ujiandae
Nakuona hapo unajipodoa dada angu mwenyewe,tayari kwa kutoka outing na shem wangu![emoji6][emoji6][emoji6]Mwenyewe
Wewe kwa sababu sio mtanzania by birth lazima ubisheMe nabisha dereva akiwa jiwe siyo lazima abiria tuwe mawe
Kwa mchumba wanguUnataka uende wapi kama sio kwa kaka yako
Kuna siku nitakuuza hata sitadai hela![emoji4][emoji4][emoji4]Sina kaka
Kukuna nazi zile za azam/bakhresaKukuna nini sasa
We si ndo mchumba wangu auNakuona hapo unajipodoa dada angu mwenyewe,tayari kwa kutoka outing na shem wangu![emoji6][emoji6][emoji6] View attachment 973802
Mimi nina mchumba mbaya kama wewe??!We si ndo mchumba wangu au
Ninunue wewe basiKuna siku nitakuuza hata sitadai hela![emoji4][emoji4][emoji4]