Zile huwa zinakobolewaKukuna nazi zile za azam/bakhresa
Ndo maana sitaki kuwa na kaka mwenye chogoMimi nina mchumba mbaya kama wewe??!
[emoji41][emoji41] Sikuelew we uende tu kwa kaka yakoSina kaka
Numbisa umeshirik kuua masimulizi ya Isidingo kwenye ule uzi. Kweli watu wataratibu ni wauajiDuh aiseee kumbe
Nenda sasaKwa mchumba wangu
Dada Bwana Yesu asifiwe![emoji2211][emoji2211][emoji2211]Ndo maana sitaki kuwa na kaka mwenye chogo
Una miaka chini ya 18. Bisha nilete cheti chako cha kuzaliwa.Si kweli.
Me nabisha kwa sababu me n mtazania by birth lakini mm siyo jiwe ni binadamu...Kama dereva wenu ni jiwe msilazimishe kufanana naye.Wewe kwa sababu sio mtanzania by birth lazima ubishe
Mpigie mama yao simu umueleze azimio lako hahahahahahhhahaNilipanga mwaka 2018 niwe na watoto wawili cha kushangaza mwaka umeisha hata mama yao sina. Kama unabisha njoo tutafute mtoto pamoja
Siendi[emoji41][emoji41] Sikuelew we uende tu kwa kaka yako
Umemnunulia bando ?Inakuwaje sijaona comment hata moja ya Viatu vya Samaki!
Milele AminaDada Bwana Yesu asifiwe![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Umemnunulia bando ?
Sterling wa kukwapua watoto wazuri wa JF vipi mkuu?Umemnunulia bando ?
Daaaa heshima yako kaka mkubwa.Mtalaka wangu huyo [emoji23]
Numbisa umeshirik kuua masimulizi ya Isidingo kwenye ule uzi. Kweli watu wataratibu ni wauaji
Kumbe wewe sio kaka ake sakayo, nyie watu wasiri sanaDada Bwana Yesu asifiwe![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Mmmh! na siku hizi mbona huleti habari za mpira wa miguu, labda kutokuzileta hizo habari ndo kumekufanya uwe mpole!.
Mimi ni nani kwani?Kumbe wewe sio kaka ake sakayo, nyie watu wasiri sana
KIrahisi hivyo... Haiwezekani wallahNinunue wewe basi