Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hamna kitu kinachoitwa Christmas na kwenye Kiswahili hamna msamiati unaoitwa "sherehe" na Dunia haipo.Christmas ni sherehe ya dunia nzima.
Hilo hata mimi nabisha.
Mwanamke anahitaji kukanywa kama mtoto mdogo.
wallahi Mimi nabisha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Numbisa ni member mpole kuliko wote JF.
Hanaga ugomvi na mtu.
Sherehe ya ki freemason hiyoChristmas ni sherehe ya dunia nzima.
Mie nakubali kabisaaaWanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
Kumbe hata wewe mzee baba huwa unataman font sitiNgoja niwahi [emoji575] seat [emoji575], lazima niwe font page leo.... Sasa tunamaliza mwaka ulipotea kidogo hapo kati lakini hebu nijuze kwa utulivu kabisa kwanini kipindi cha JK ulinichukia kiasi kile[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Mimi nabishana kabisa na wewe.Hamna kitu kinachoitwa Christmas na kwenye Kiswahili hamna msamiati unaoitwa "sherehe" na Dunia haipo.
Onyesha demo ya kupiga nyeeerushwa ni tamu kuliko mshahara,
anayebisha apige nyeto.
Hahaha nimecheka tu ila sijabisha, ile kitu niko vizuri sasa hivi, nitakutumia picha. Usibishe sasaNumbisa ni member mpole kuliko wote JF.
Hanaga ugomvi na mtu.
Hapa jiran umetuongopeaWanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
Mimi nabisha , hana tatizo. Sema yupo realHuyo demu atakuwa ana tatizo mahali trust me, sio mtu wa kawaida
Mie nakubali kabisaaa
Kwan kuna mahal alikuwa anashndanaSiasa zimekushinda bibi faiza?
Numbisa wewe ugomvi wako uko kwa mnyama chibu tu diamond platnumzNumbisa ni member mpole kuliko wote JF.
Hanaga ugomvi na mtu.
Jirani we ni mbishi tatizoHapa jiran umetuongopea