Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...
4r46fxŕ
 
Asalaaaaaaaaaaaaale!!!

Yaani hiki kibibi kimewaingiza nyote nyie kwenye 18 zake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…