Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...
Mimi nabisha watu muache ubishi, bila hivyo nitabisha mpaka mkome kubisha

Nani anabisha?
 
Ngoja niwahi [emoji575] seat [emoji575], lazima niwe font page leo.... Sasa tunamaliza mwaka ulipotea kidogo hapo kati lakini hebu nijuze kwa utulivu kabisa kwanini kipindi cha JK ulinichukia kiasi kile[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Nasubiria...
 
Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...
nAona sihasa zimekushinda satha wathoma namba..ole wako unisahihishe kiswahili...ADA HUJANILIPIA AF UNIPANGE CHA KUANDIKA😎😎😎
 
Hapo ubishi wa nini sasa? Mimi nnauhakika wewe siyo "Maserati".

Maserati ni aina ya gari.
Hata mimi nabisha,Hapa nilipo nina matairi manne,kama hauamini angalia barabarani utaniona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…