Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Napinga vikali sijawahi juwa nyie wanawake mnataka nini, mkipewa hela bado mnatoka na kutokomea kabisa, mkipewa mkuyange vizuri bado hamliziki
Sasa hapo unapinga nini?! Huwezi kuwa navyo vyote kwa pamoja... Mengine tunaheshimu na kuvumilia tuu
 
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa, tena ililiwa miaka 40 nyuma. Alhamdulillah.

Ulikuwa na miaka mingapi miaka 40 nyuma?

Hapo sasa!
nilikua miaka negative kadhaa,umri just a number ,huyo babu wako kashazeeka sana ,ngoja nije kijana nikupe vitu konki ,usibishe sasa
 
nilikua miaka negative kadhaa,umri just a number ,huyo babu wako kashazeeka sana ,ngoja nije kijana nikupe vitu konki ,usibishe sasa
Ni jitu la miraba saba.

Yangu mahaba sitowi kama sadaka.
 
Siasa zimekushinda bibi faiza?


Yuko chalii, miguu juu kifo cha mende 😛 hawezi tena siasa. Eti uzi wa kubishana... huyu kizee kaishiwa sera jamani mweeh! Alijifanyaga msiasa na mdini sasa kawa kizee cha kijiweni kubishana bila sababu. Nani anabisha????
 
Back
Top Bottom