Usibishe moyo wangu umekuangukia bibj faiza= hamridhiki
Ukiona hivyo ujuwe mambo huyawezi.
Sasa hapo unapinga nini?! Huwezi kuwa navyo vyote kwa pamoja... Mengine tunaheshimu na kuvumilia tuuNapinga vikali sijawahi juwa nyie wanawake mnataka nini, mkipewa hela bado mnatoka na kutokomea kabisa, mkipewa mkuyange vizuri bado hamliziki
Nikupe moyo wangu ili unijaze maumivu nabisaha kuwa mapenz ya ukweli hakunatunataka moyo
ujuwe = ujue= hamridhiki
Ukiona hivyo ujuwe mambo huyawezi.
Uchimu= UchumiSiasa utanishinda wewe maana sijawahi kukushinda, njoo tubishane swala la uchimu nchini
Nabisha vikali kama hutamuwez faiza, niachie mimi faiza nimeshamtolea mahari[/QUOnabisha miaka 40 iliyopita ulikua na umri gani mkuu
Nabisha hayo mapenzi uliyotaja yote hayapoMapenzinyapo sina nyingi unaongelea yepi?
Ya kula? Kulala? Mama? Dada? Mke? Mume? Mtoto?
Weka sawa tubishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Age is just a number.
I love my age. Old enough to know better. Young enoug not to care. Experienced enough to do it right.
NabishaNani anabisha Ijumaa ya leo ipo so sex yani week inaisha vizuri sana kuelekea X mass akili, mwili mikono havitaki kufanya kazi nzito leo, najiaanda kula bata baadae maisha mafupi ukipata nafasi jiburudishe
Usibishe banah nimeshajaribunabisha ushajarbu kumtolea moyo wako ?
nilikua miaka negative kadhaa,umri just a number ,huyo babu wako kashazeeka sana ,ngoja nije kijana nikupe vitu konki ,usibishe sasaUmechelewa jamvini karamu imeshaliwa, tena ililiwa miaka 40 nyuma. Alhamdulillah.
Ulikuwa na miaka mingapi miaka 40 nyuma?
Hapo sasa!
Hahhahahh wewe kila kitu unabisha, bingwa wa ubishi, unalimaje huku unachat?Nabisha
Niko huku namtumbo naandaa mashamba
Siasa zimekushinda bibi faiza?