Kwa wanaosoma KIU, PhD zasimamishwa Uganda

me napata tabu sana kuona vyuo vya namna hii vikishamiri hapa tz, sijui hawa tcu wanafanya nini, kila kukicha vyuo vya ajabu ajabu vinaibuka, mbaya zaidi wanakimbilia kufundisha education ili waiue kabisa elimu yetu

Kwa sasa kila kitu ni ruksa! Ukitaka ku prove anzisha ata nursery nyumbani kwano na iite luhombi international school.Hakuna atakae kufuata
 

Nowadays kila kitu ni business as usual my friend!
 
Hapa, wakulaumiwa ni wazazi ambao wanawapeleka watoto wao kusoma huko. Ina maana hapa JF hakuna aliesoma pale G'mboto ktk Chuo cha Kampala Int Uni? Au mnajificha?

Wako hata hapa ila wamejificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…